Elimu yetu Tanzania imeshuka?

Elimu yetu Tanzania imeshuka?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,315
Reaction score
17,580
Kuna watu wengi ambao wana mitizamo tofauti kuhusu elimu yetu. Wako wanaosema elimu yetu imeshuka viwango na wako pia wanosema imepanda na kila mtu anatoa sababu zake.

Kinachochangia elimu kushuka au kupanda ni mambo yafuatayo:

1. Ubora wa walimu
2. Ubora wa mitaala
3. Ubora wa mazingira ya kusomea (madarasa, madawati, mwanga, hewa, joto, vitabu, maktaba, chakula, utulivu, michezo, idadi ya wanafunzi darasani, idadi ya walimu shuleni, vyoo, maji ya kunywa, huduma ya kwanza, elimu ya afya)
4. Ubora wa usimamizi wa taaluma
5. Ubora wa mwanafunzi anayechaguliwa kujiunga na shule/chuo
6. Ubora wa mlezi kwenye kipato, elimu, na aina ya kazi
7. Kiwango cha motisha kwa walimu
8. Ubora wa huduma za jamii (usafiri, sheria, masoko, malazi, vyakula)

Unapotaka kujuwa kama elimu imepanda au imeshuka lazima uangalie vitu vyote hivi kabla ya kulaumu au kupongeza kiwango cha elimu yetu.
 
SHULE YA SEKONDARI MAURICE inawatangazia wazazi na walezi wote kwamba tunapokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2019, nafasi za kuamia kidato cha kwanza na cha pili pia tuna kituo cha mitihani kwa watahiniwa wa kujitegemea na Q.T. Vile vile pia tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa michepuo ya ECA, HGE, HGK, HKL na HGL. ADA ni nafuu sana. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Dar es salaam wilaya ya temeke, eneo LA mbande kisewe. Simu 0785907371. Wote munakaribishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
There is a need for a scientific assessment of free primary education which should be done by an independent institution/organization and share their findings with the community.
 
Back
Top Bottom