Elimu yetu na ufunguo wa maisha

Mmmmmh na hapo wanategema 'Big Result Now' kwa mtindo huu hakuna kitu!
 
Hahahahahahahah.....xorry jaman haikua dhamira yangu kucheka ila kimenitoka tu.
 
Hapo hakuna Elimu, ni watu tu wanawekwa sehemu kuongeza idadi ya miaka yao wanayoishi hapo
 
Mmmh mivumbi hiyo lazima mifunza iingie kwenye miguu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…