Elimu yetu iwe our environment-specific.....

Elimu yetu iwe our environment-specific.....

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,475
Reaction score
33,038
Hello JF,

i guess kwa sasa elimu inayotolewa Tanzania ime base sana kwenye vitu general....

Ndio maana inaibua wahitimu ambao hawawezi kujiajiri ......

Wangesoma kwa kutumia mazingira yetu, wageweza kujua jinsi ya kutumia fursa zilizopo katika mazingira yetu na kuzitumia

Mfano mimi huwa nadhani wale engineers wanaojenga madaraja yaananguka wakati wa mvua ni wamesoma vitu general, wangesoma vitu environment-specific wangeweka mafuriko kama challenge ya mazingira yetu,wangejenga madaraja yanayoweza kukabiliana na mvua/mafuriko....

Mimi ningependa kuona syllabus zinakua updated regularily ....

Wanafunzi/young persons wanakuja na creativity na ambitions,sio kuwakarilisha vitu ambavyo havitawasaidia....

Tungeweza kuwatumia hawa wasomi kwa manufaa ya jamiii...

Moja kuwafanya waweze ku explore opportunities ambazo zipo katika mazingira yanayotuzunguka mfano Kilimo

Unawapa case study inayohusu Kilimo, then unawaacha wakupe majibu...

Majibu unaweza kushangaa yanaweza ku postive,na kusaidia jamii

Pia sio opportunites tu, tuangalie na Challenges zinazotuface kama jamii kwa mfano Unemployment...

Kwa kifupi,wanafunzi wapewe Challenges and opportunities zinazotuface kama jamii..kisha watoe 'solutions'.......

Nimechanganya vitu kidogo.lol

Becky
 
Mfano mimi huwa nadhani wale engineers wanaojenga madaraja yaananguka wakati wa mvua ni wamesoma vitu general, wangesoma vitu environment-specific wangeweka mafuriko kama challenge ya mazingira yetu,wangejenga madaraja yanayoweza kukabiliana na mvua/mafuriko....
Kwani ni madaraja yote huwa yanaanguka wakati wa mvua? Vp yale yasiyoanguka? Je, yametengenezwa na nani kama sio watanzania hawa hawa?

Engineers waliotengeneza vinu vya nuclear vilivyolipuka Ukraine Chenobly pamoja na vile vya Japan vilivyovuja baada ya lile tetemeko la ardhi nao wana mfumo mbovu wa elimu?
 
Ujasiriamali (Entrepreneural spirit) ni kipaji pia kama soccer hivyo sio kila mtu anaweza. MO Dewji na ufanyabiashara wake woooote anaweza kucheza soccer kama Samatta?

Anaweza kuwa trained mkuu akamzidi Sammata,lol, I'm joking, seriously hizo enterprenuer skills one can be trained,kuna vitabu na courses pia au sijakuelewa?
 
Moja kuwafanya waweze ku explore opportunities ambazo zipo katika mazingira yanayotuzunguka mfano Kilimo

Unawapa case study inayohusu Kilimo, then unawaacha wakupe majibu...
Mbona wataalam wa kilimo wamejaa sana SUA Morogoro. Mnataka nini tena?
 
Ulichosema kweli. Mtu tokea darasa la kwanza hadi form 6 bado hujajua aswaaa unakuja kua nani.

Kuna jamaa humu analalamikaga alisoma PGM akitegemea atakuja kurusha ndege cha ajabu anapika kwa muhindi sahivi.
 
Pia sio opportunites tu, tuangalie na Challenges zinazotuface kama jamii kwa mfano Unemployment...
Unemployment haiwezi kuisha kwa 100% bali inatofautiana kulingana na sera za serikali kwa wakati huo. Sasa hakuna pesa mtaani kwa sababu nyingi zimeelekezwa katika kujenga miundo mbinu.
 
Anaweza kuwa trained mkuu akamzidi Sammata,lol, I'm joking, seriously hizo enterprenuer skills one can be trained,kuna vitabu na courses pia au sijakuelewa?
Ujasiriamali unataka roho ya ujasiri sana kama jina lenyewe linavyosadifu. Mwingine akipata hasara pressure inapanda kisha anakufa ila mwingine anakopa tena bank na anawekeza palepale
 
Uko sawa kabisa dada rebeca83 ila tatizo la elimu yetu ya sasa tumeivuruga na tunasaidiwa kuivuruga na tumekubali kuivuruga......

Nafikiri tukiamua kukaa chini na kuandaa vya kwetu itasaidia, leo hii ukitizama hizi shule za ufundi kama mtwara, ifunda na wenzake zimepotea kwenye misingi iliyowekwa ila yote n mapito....
Kuna dokta mmoja aliwahi sema tunachofundisha n basic tu vingine utaelewa huko mbeleni (eneo la kazi)

Labda Mpaka aje mkuu wa kaya mwenye nia ya kufanya mapinduzi kwenye sekta y elimu labda ndio kutatokea mabadiliko chanya.

Ngoja dada prof joyce apitie uzi atalifikiria....
 
Kwani ni madaraja yote huwa yanaanguka wakati wa mvua? Vp yale yasiyoanguka? Je, yametengenezwa na nani kama sio watanzania hawa hawa?

Engineers waliotengeneza vinu vya nuclear vilivyolipuka Ukraine Chenobly pamoja na vile vya Japan vilivyovuja baada ya lile tetemeko la ardhi nao wana mfumo mbovu wa elimu?

Sijasema yote yanaanguka mkuu,yapi yamejengwa na watanzania yakaanguka na ambayo hayajaanguka inahitaji Data analysis..
 
Unemployment haiwezi kuisha kwa 100% bali inatofautiana kulingana na sera za serikali kwa wakati huo. Sasa hakuna pesa mtaani kwa sababu nyingi zimeelekezwa katika kujenga miundo mbinu.

Haiwezi kuisha, sababu duniani kote tatizo la unemployment halijawahi kuisha,ila kila nchi ina stratergies zake za kulipunguza hilo tatizo,hapo ndipo unapotumia wanafunzi kukusaidia...by the way nimetumia kama mfano tu
 
Ulichosema kweli. Mtu tokea darasa la kwanza hadi form 6 bado hujajua aswaaa unakuja kua nani.

Kuna jamaa humu analalamikaga alisoma PGM akitegemea atakuja kurusha ndege cha ajabu anapika kwa muhindi sahivi.

Mkuu kwa hili nadhani tunahitaji career advisors mashuleni,kuwa guide wanafunzi kwenye career paths...
 
Back
Top Bottom