elimu yetu inazidi kuwa kituko

elimu yetu inazidi kuwa kituko

eljouf

Member
Joined
Aug 21, 2015
Posts
70
Reaction score
27
tunaendelea kujenga kizaz cha wajinga kwa kukumbatia walio feli
 
Yaani jamani hii mada imenikuna. Gpa 0.3 pass yaani maana iliyopo mtoto akipata d mbili amefaulu au c moja au b moja au b± moja au a moja amefaulu kwenda kidato cha tatu. Halafu unakuta magufuli anashangaa eti.
 
Back
Top Bottom