umesomea udereva wa basi la mkoa wewe unataka uendelee kuendesha bajaj..... Kinachokuuma ni kukosa mashavu uliyokuwa unabonda..., na degree yako ubaki primary KUFANYA NINI!!!!!??
kawasemee kwa Jk
wee mwalimu...hivi unasoma ili upate elimu ili iweje kama sio kukusaidia kukabiliana na changamoto za maisha yako na mazingira yanayokuzunguka...
Kimyume cha hayo niliyokueleza hapo juu huna tofauti na ambaye hajawahi kuingia jengo linaloitwa darasa na kupata elimu...
mwalimu...amka achana na ulimbukeni wa kupendwa kuitwa mwalimu wakati huna hata mia na kutwa kulalamika kwa jamii mara migomo mara munafyata mikia..nenda kakope saccos pikipiki jifunze udereva na uanze kutengeneza mpaka tshs 30,000/= kwa siku na tsh 900,000/= kwa mwezi na uache kulialia mara ded mara taratibu za kazi....kwanini una-elimu kisha hujaelimika?
watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa...ualimu wito ilikuwa enzi za nyerere..sahivi ni ualimu maslahi.
Who cares?... huyu ni mwalimu mtiifu na kuchukua risk ya kuacha kazi ni ngumu sana si ameshakuambia kupata kazi nyingine ni ngumu..?!!
Ila mwalimu nikuulize swali.., kama uliweza kujiendeleza unashindwa nini kutafuta kazi nyingine nzuri ukiwa bado umejishikiza hapo ulipo sasa? Vinginevyo hiyo elimu yako uliyojiongezea inakuwa haina maana. Kama unaona serikali inakuongezea majukumu ilhali inakupiga danadana kwenye fweza.. fanya maamuzi magumu!!
Je ulizaliwa uwe mwalimu na ufe mwalimu?! Akili kumkichwa MWALIMU.
Kila la kheri!
c uhame huko serikalini?private kibao ckuhiz huwez kosa shule ya kufundisha mwalim!
Tafuta private Sepa,hii gov.imenichosha
Mwalimu kuwa na subira,kwa kukaa katika ualimu kuanzia cheti hadi bachelor hujajua tu jinsi utendaji wa serikali ulivyo? na nilitegemea ulikuwa na malengo ya kwenda shule ili upande daraja na majukumu yaongezeke au ?Jitahidi kuwasilisha maombi yako kwa mwajiri ili yawekwe kwenye bajeti baada ya hapo utalipwa mshahara wako mpya na arrears, na usisahau kumkubusha mhasibu wako wakati anakulipa arrears alipe kodi na michango ya pensheni.
umesomea udereva wa basi la mkoa wewe unataka uendelee kuendesha bajaj..... Kinachokuuma ni kukosa mashavu uliyokuwa unabonda..., na degree yako ubaki primary KUFANYA NINI!!!!!??
kwasasa kiongozi kuwa mpole, subiri mwakani then tutaona. Suala la kusoma usikate tamaa elimu hailipi siku moja kama vyenye haipatikani siku moja. Mwakani mwezi wa tano ukifika mambo yako hayajarekebishwa itabidi uniPM tujaribu kuona pale utumishi tatizo limekaaje. Kuna vijana wapo pale.