sawa mkuuu ngoja waje watalaamMi nilipoenda jeshini (mujibu wa sheria) mwaka juzi nilikuta malalamiko ya wanajeshi kukosa ajira nakumbuka tuliungana nao ili kuishinikiza serikali kuwapa ajira.
Alikuja muwakilishi wa Kiongozi mkuu wa majeshi Tz wale service men ambao walikuwa wanalalamika wakaambiwa kila mtu ataje kiwango cha elimu yake walikuwepo kuanzia dasara 7 hadi wenye degree zao.
Nilikosa jibu kwa sababu mwanzo nilijua elimu ni kipao mbele jeshini lakini kwa sasa Tanzania yenye wasomi wengi... Mi sijui
Sawa mkuuuawe mwanasheria tu
jeshini atazidi kujichanganya je ataweza kukaa miaka 3 jktSawa mkuuu
Majeshi siku hizi yanaendeshwa kisasa siyo kuvunja matofali kama zamaniwakuu naomba kujuzwa,
Kuna rafiki yangu kamaliza degree ya sheria na ana master ya business administration, sasa juzi apa ameacha kazi ili ajipange kuingia jeshini.
Mimi sina information za kutosha kuhusu jeshi, kwa iyo sikuweza kumpa ideas za maana, ila kwa upande wake yeye ana sema kwa elimu yake akiingia jeshini basi atakuwa kweny position nzuri.
Wakuu naombeni kujuzwa kuhusu hilo.
Na ikiwa ugomvi wakwao unapiganiwa porini kwa tanks na ak na jamii zake. Sio mahakamani.Ujuzi wake alio nao hautamsaidia saana. Kule jeshini hawahitaji saana wanasheria bali wataalam wa IT na Ujenzi wowote ule kwani hayo ni mambo muhimu kwao. Sasa, sheria umesikia wana ugomvi na jirani??