Elimu ya watu maalumu

Elimu ya watu maalumu

ressyrutta

Member
Joined
Nov 6, 2017
Posts
22
Reaction score
11
Napenda kuuliza: Elimu ya watu maalumu inatolewa chuo gan hapa Tanzania?

Nauliza upande wa ngazi ya astashahada ya watu wenye ulemavu.
 
Kwa ngazi ya astashahada na stashahada kuna chuo kinaitwa Patandi, ngazi ya shahada nenda Udom. Kuna chuo kinaitwa Sebastian Kolowa Memorial University (Sekomu) kwa sasa kimesitishiwa huduma kwa muda but is the best University in Tanzania in case of special education
 
Back
Top Bottom