Labda nikueleze kwa nini sun na moon tunazihesabu kama Planets na sio other celestial bodies.Kwa nini jua liwe sayari na si nyota?
Clearly jua ni nyota inayozungukwa na sayari. Na mwezi ni satellite inayozunguka dunia. Na dunia ni sayari inayozunguka jua.
Kwa nininuziite zote hizi sayari wakati nenonsayari lina maana yake specific?
Nikisema astrology ni primitive astronomy kama alchemy ilivyo primitive chemistry nitakuwa nakosea?
Mnaharibu hilo neno planet.Labda nikueleze kwa nini sun na moon tunazihesabu kama Planets na sio other celestial bodies.
Ni hivi; kwenye astrology jua linafanya transit kama zinavyofanya sayari zingine. Yaani zinashift kutoka sign moja kwenda nyingine na zina move kutoka one house to the next house. Kwa sasa jua lipo katika sign ya Cancer (kaa) ambayo siku 3 mbele jua linajiandaa kuingia katika sign ya Leo (Simba).
Na mwezi nao unashift kama zinavyoshift katika sayari nyingine.
Halafu ujue kwamba ilianza astrology kisha ikafuata astronomy.
Mkuu sina whatsap nisaidie kunijibia kwa hapa najua huko whatsap nitatozwa pesaNichek WhatsApp 0782 82 11 77.
Owk nilitaka hayo mambo yangu binafsi ngoja nikuibukie pm yakoMi hapa najibu maswali kwa faida yote.
Mambo yako binafsi siwezi nikayaweka hapa hata kama ingekua bure.
Hizo asteroid na comets zina trans kwenye njia gani.?Mnaharibu hilo neno planet.
Kila kitu in the universe kina shift. Asteroids, comets, chunks of ice, moons,dust.
Dust nayo ni planet?
Why are you calling different celestial bodies planets while they are not?
Kila kitu kwenye universe kina move,, hata space yenyewe ina expand.Hizo asteroid na comets zina trans kwenye njia gani.?
Unazielewa zodiac house vizuri lakini. Tusije tukawa tunaongea lugha mbili tofauti.?
mimi nilimjibia tu wala hujakosea.halafu avatar yangu ni mtoto wa kiume nilimjibia tu.sorry broo tatizo mnachanganya kwa kuweka Avater za kike. Samahani tena na tena. Sawa
ok. Pamoja sana boss kiongozimimi nilimjibia tu wala hujakosea.halafu avatar yangu ni mtoto wa kiume nilimjibia tu.
Swali la 3; kuna usahihi asilimia ngapi kwenye unajimu katika maisha ya mwanadamu.1.kwanini unafikiri kututaka tujifunze unajimu..?
2.elimu ya unajimu inauhusiano gani na sayansi..?
3.kuna usahihi wa asilimia ngapi kwenye unajimu ktk maisha ya mwanadamu..?
4.elimu ya unajimu inaamini nini juu ya maisha ya mwanadamu..?
5.na je,unajimu unaamini nini juu ya chanzo cha uhai ulimwenguni..?
Mkuu kna aina ngapi za Aries? Na kwenye hizo aina ni yupi mwenye strong aries nature?Aries anakua first zodiac sign kwa sababu ya nature yake. Aries ni leader by nature. Na haogopi ku take action katika mazingira yeyote yale.
Hiyo lakini kwa universal chart, kumbuka kila mtu ana chart yake ambayo ni tofauti na mwingine. Kuna mwingine chart yake haianzii na Aries, inaweza ikaanza hata na Pisces ambayo ni sign ya mwisho.
Aries ni moja tu, ila anaji express tofauti kutokana na huyo Aries yupo katika nyumba ipi? Na anapokea energy kutoka kwa sayari gani.Mkuu kna aina ngapi za Aries? Na kwenye hizo aina ni yupi mwenye strong aries nature?
Niambie kuhusu yule aliezaliwa tarehe 21 marchAries ni moja tu, ila anaji express tofauti kutokana na huyo Aries yupo katika nyumba ipi? Na anapokea energy kutoka kwa sayari gani.
Kwa mfano Aries aliye katika nyumba namba 4, anapokea energy kutoka kwa sayari ya Uranus anakua tofauti na Aries aliye nyumba namba 6 anayepokea energy kutoka kwa Mars. Hawa wote ni Aries lakini wana act tofauti lakini nature yao huwa inafanana.
Huyo ni Aries, lakini ili tujue ipo kwenye nyumba ipi na mambo mengine kukuhusu, itabidi tujue ulizaliwa muda gani? Mji ulozaliwa na tarehe, mwaka na mwezi.Niambie kuhusu yule aliezaliwa tarehe 21 march
Mkuu nikikucheki watsapp kwa issue hii kuna mlungula utahitajika?Huyo ni Aries, lakini ili tujue ipo kwenye nyumba ipi na mambo mengine kukuhusu, itabidi tujue ulizaliwa muda gani? Mji ulozaliwa na tarehe, mwaka na mwezi.
Pia nicheki WhatsApp kwa mambo hayo. 0782 82 11 77.
Hata kama ingekua bure nisingefanya hapa.Mkuu nikikucheki watsapp kwa issue hii kuna mlungula utahitajika?