MAAMUZI MAGUMU
Member
- Sep 13, 2011
- 11
- 5
Ndugu wana JF, hawa wanaoliongoza taifa hili wao walisoma katika mazingira yanayofanana na hay? Wananunuliana mashangingi na kupelekana nje kila siku huku watoto wetu wakiteseka hivi.
[h=3]<o
>
</o
>[/h]
[h=3]<o
</o
<o
> </o
>
Hii ni moja ya Shule ya msingi Bukoba - Kagera <o
></o
>
Mwisho wa siku watoto wetu tunaishia kuwapa elimu kwenye mazingira <st1
lace w:st="on">kama</st1
lace> haya! ebu muangalie mtoto huyo aliye karibu na Mfuko wa plastic, yupo darasani kweli!!! nini anachowaza! Mimi na wewe tutabaki tunahisi tu: Labda hajanywa chai! au anaumwa! La hasha! mazingira hayo yanampelekea kutomsikiliza mwalimu. <o
></o
>