CHANANJA THE BIG DYNASTY
JF-Expert Member
- Sep 14, 2024
- 1,262
- 1,836
huu upumbavu kuwa binadamu wa kale walikua nyani, ndio unakera haswa.
Mleta mada kataa bangiYo fam, real talk... elimu yetu Tanzania ni straight up basura, garbage ya mtaa bro! Hii shit iko dead, rotten like some broke ass hustler’s dream. Hakuna kitu hapa but pure clowns running the goddamn system, acting like they know something — but inside, dead empty!
Bro, watu bungeni are just some old ass fools banging tables like it’s a street brawl. Wakifurahia posho zao za buku tano wakati vijana wetu wako stranded huko streets, no skills, no jobs, no damn hope! Hawa wajamaa bungeni are some fake ass OGs, wameshika power but brains zao zimeexpire siku nyingi, real shit!
Education huku ni kama damn funeral.
Kids wanakwenda shule kusleep, to memorize dead ass facts za miaka ya Mwalimu. Ain’t no real hustle, ain’t no grind, ain't no street smart education.
They ain't teaching no coding, no AI, no entrepreneurship, nothing real bro — just old dusty books na walimu dead broke hawana hata morale.
Amerikani watoto wanacheza na drones, building apps, launching start-ups na hapa mtoto wetu anafundishwa jinsi ya kupiga hesabu za kutumia kamba kupima shamba.
Man what the JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala is that?!
Hii siyo elimu, ni straight up daylight robbery ya akili ya vijana wetu, bro!
Our leaders? Damn bro, half ya hao mafuckas walinunua vyeti Kariakoo. Real shit. Some of them can’t even read a full English paragraph bila kutema mate kama wanafanya exorcism.
Hawa ndo wanasema wanatengeneza future ya Taifa? Get the hell outta here!
Sisi huku tumebaki last bench ya dunia. Mataifa mengine yanapiga luku za technology na sisi bado tunabishana kama tunahitaji kompyuta mashuleni au penseli tu inatosha. Stupid ass debates, man!
WHAT NEEDS TO HAPPEN, LIKE RIGHT THE JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala NOW:
First, we need to trash this Stone Age ass curriculum kabisa. Dump that shit deep down like some cursed ass ex.
Second, fire every dumbass politician mwenye fake papers. No cap. Chase them mofos outta office fast.
Third, build real streets level education — teach coding, teach building shit from scratch, teach survival hustle ya dunia ya leo, not dead history za 1960s.
Fourth, invest kwa walimu — walimu wa mtaa wenye swag, wenye akili za real world, not hawa zombies waliopo sasa hivi.
Fifth, mindset lazima ichange fam!
Teach kids to be global bosses, not local beggars looking for foreign aid every two seconds.
Bro, Tanzania right now is like a broke ass rapper flashing fake jewelry thinking he’s popping. Reality ni kwamba dunia imetuacha nyuma like old dirty sneakers, man.
If we don't flip this bitch over, our kids wataendelea kuwa broke, jobless, and hopeless, na Taifa litabaki kuwa just another sad ass story ya "what could have been".
Fam, time ya kulala iliisha.
Now it’s hustle o’clock!
WAKE THE JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala UP, TANZANIA!
Inakera nini?huu upumbavu kuwa binadamu wa kale walikua nyani, ndio unakera haswa.
Madogo wa miaka ya 1995-2000 damu inawachemka, wamezaliwa na kupata akili miaka hii ya Iphone 14 wana mitazamo tofauti na sisi tuliochapwa viboko na kushikishwa masikio baada ya kuchelewa mstarini asubuhi shuleni.Dah….huo uandishi sasa 🤣.
Wow tjust wow, umemalizaInasikitisha taifa kuamini uchumi wa watu wake utajengwa kwa kupitia fasihi simulizi na fasihi andishi.
Inasikitisha kuona taifa linaamini uchumi wa watu wake unajengwa kwa historia uchwara ambayo hata usomeje haijalenga kumuinua mwanafunzi kiuchumi.
Inasikitisha mpaka leo biashara kubwa ipo china but no initiatives za kufahamu hata lugha ya kusalimiana na wachina kwa watoto wetu, badala yake tumeegemea kwenye kificho Cha lugha ya kimataifa.
Inasikitisha foundation ya science yetu unajengwa hadi kidato Cha sita. Miaka 13 ya elimu bado hujaijua professional yako 😆. Science iliyoegemea kwenye vitabu na sio vifaa. Science ambayo imekaririka wakati wenzetu wanaendana na soko la dunia matumizi ya AI n.k sisi tunatetea mitaala yetu ili tupate mikopo IMF &WB
Inasikitisha kuona elimu ya uraia Haina elimu ya uzalendo ndani yake, Bali ni kukalilishana na kujirudia kwa topic hadi kidato Cha sita kwa kigezo Cha mada inaongelewa kwa undani.
Inasikitisha mpaka historia na siasa ya nchi ya waswahili inafundishwa kwa kiingereza. Sijui lengo ni kujua kiingereza kupitia hayo masomo ama lengo ni mwanafunzi kufahamu historia yake. Wakati huo huo mtoto akifeli inahesabika hajui historia, kumbe hajui lugha.
Elimu yetu inahitaji reform nchi ipate kupiga hatua, nchi haijengwi kwa maono ya serikali tu, Bali watu walioelimika wanamchango mkubwa sana kukuza uchumi na kelele za kusumbua serikali zitapungua.
Na kwasababu hiyo america inatengeneza matajiri wa ndani kirahisi sana. Wana support system ya kukuza hivi vipaj before chuo na after chuo, SILICON VALLEY (ambapo tech nyingi zimezaliwaElimu ya Tanzania ni garbage.
Wabunge in feki?
Elimu yetu watu wanakariri mambo ya enzi za Mwalimu( Nyerere?). Be careful here,wapo watu hapa machawa wa yule ( m)jamaa.
Watu hapa hawafundishwi coding( whatever that is) ,hawafundishwi AI.( This AI is eluvise. It is now just a money making racket. Ukitaka kujifunza unaulizwa how much money have you got to pay for it?).
Wanafunzi wetu vitabu vyao vya zamani,vinaliwa na mchwa. Walimu hawalipwi vizuri.
America,mtoto anachezea drones
Anatengeneza app
Anaanzisha start up.
Viongozi wetu nusu yao wana vyeti vya kufoji.
Suluhu unayopendekeza.
The bitch must be removed.
Well,well,sorry,this bitch is here to stay.
Sawa msomi wa 1st world war na majimaji resistanceMleta mada kataa bangi