Kwanza nianze kwa kuwapa pole wanafunzi wa form four,walio kwenye mithiani na wanaoemdelea mithiani. Ivi jamani elimu ya miaka minne unapimwa kwa masaa matatu!!! Kweli elimu hii ni ngumu. Mi naona bora ingekua kama elimu ya high education, unatahiniwa kwa mada husika na muda husika ...so unalimbikiza miaka yote hio afu mtu ujitutumue kwa masaa matatu...au nyie mna mawazo gani kuhusu
Ww nae unatuvuruga tu.wenyewe hampo siriaz .kama unaiona o lvl ngumu bc ujiandae
Poti ulipoga ( cos 90 ) o -level nini maana aisifiaye mvua imemnyeaKwanza nianze kwa kuwapa pole wanafunzi wa form four,walio kwenye mithiani na wanaoemdelea mithiani. Ivi jamani elimu ya miaka minne unapimwa kwa masaa matatu!!! Kweli elimu hii ni ngumu. Mi naona bora ingekua kama elimu ya high education, unatahiniwa kwa mada husika na muda husika ...so unalimbikiza miaka yote hio afu mtu ujitutumue kwa masaa matatu...au nyie mna mawazo gani kuhusu hili?
we funguka tu matatizo yaliyokufanya usiende form viiii upewe ata ushauri sio kusema batabata bata gani unakula wewe. huna wazazi wa kukuambia uende shule??? mda mwingine tuwege wawazi tuMkuu...kupasua o level ni mikakati yako madhubti..unapasua...mi form 1.2.3.nilikimbia class..ila form 4 mikakati yangu ilikuwa vzur saiv nalaa bata form 5..mpka 2019 Tukijaliwa naenda kukinukisha tena
Mkuu..upo sahihiOlevel mambo machache unayasoma miaka mingi advance mambo mengi unayasoma mda mchache
Kwa mtu aliyeko serious olevel pepesi sema wengi hawajitambuiMkuu..upo sahihi
Mkuu..utaka evidence gan nikuoneshe ili uamini kama nilipasua...maana nimesema kwa maneno una piga kmaa ww ndo uliyesahihisha mitihan yangu......tena nilipo sema kula bata sijamaanisha kama ulivyo fikiria ww mkuu..nimemanisha ivi saiv sipigi kazi sana kama ya f4 maana nilichoka sna...we funguka tu matatizo yaliyokufanya usiende form viiii upewe ata ushauri sio kusema batabata bata gani unakula wewe. huna wazazi wa kukuambia uende shule??? mda mwingine tuwege wawazi tu
Ilo ni sahihi mkuu..sema wengi wanaona ni pagumu kutokana na kutokujielewa..kla day unaenda shule kutembea tu..Kwa mtu aliyeko serious olevel pepesi sema wengi hawajitambui
Mkuu nipo na ww asilimia 200O level sio ngumu ila wengi wetu hua hatujajitambua.
Kwa experience yangu naona Advance ni ngumu kwa sababu muda ni mfupi na mambo ni mengi mno.
Alafu kibaya zaidi kwa shule za serikali walimu wanazingua sana Advance, wapo ila kufundisha hawataki na wakifundisha wanaangalia vitu simple ndo wanavifundisha, vile vigumu wanaacha ili uteseke kuvisoma tuition kwa pesa yako mwenyewe