Habari wakuuu
Kuna mtoto wangu hapa wa 5yrs nahtaji kumpeleka Kenya akasome kwa level ya primary kwa sababu mm npo mpakan tu huku so naona its better nkampeleka Kenya apate angalau chochote kichwan,
Ninachohtaji kufahamu ni,
1.elimu ya msingi kwa ujumla ikoje?
2.kuhusu ada private\goverment schools I mean range ya ada kwa boarding and day schools
Ningependa kujua tu shule zilizopo huku mipakan hasa Taveta county ile iwe rahisi kumtembelea
Pia na mengineyo mengi ambayo sijayauliza kama yataweza kunisaidia kufanikisha lengo langu
Ahsanteni
Viva viva jamii forum