Kwanza ondoa neno KUZURULA. Kama ulimaanisha KUZURURA, pia hapa JF sio mahala pa wazururaji. Ebo!habarini humu ndani na heri ya mwaka mpya.
ni mda sana sijazurula humu jf,
moja kwa moja niende kwenye mada husika.
iko hivi nimepata taarifa kuwa elimu ya msingi imekuwa ni miaka 6 kuanzia wanafunzi walioko darasa la 3 mwaka huu. pia waliopo darasa la nne mwaka huu wao watamalizia miaka 7.
swali; je! ni kweli imeshapangwa ivo au nilikuwa napotezwa?
kama wameshapanga ivo ina maana mitaala ya elimu ipo mbioni kubadilishwa au?
je ule mtihani wa darasa la nne wataufanya wakiwa darasa gani au ndo hilohilo?.
ni hayo tu nisiwachoshe!.
Nimekusamehesamahani basi
hiyo elimu ya zamani ambayo inasemekana ilikuwa bora wakati mwingine ni stori tu kama za kwenye kahawa. kama ilikuwa bora mbona hatujaona matokeo yake kwa maendeleo ya nchi? Maana Tanzania haijawahi kuwa bora kiuchumi huko nyuma kuliko ilivyo hivi sasa. sasa tunajenga barabara za kutosha kwa kiwango cha lami, tunanunua ndege, tunajenga vyuo vikuu n.kdarasa la nne la zamani, darasa la saba la sasa.
Hao viongoz karibia wote si elimu ya Zamani wanaosimamia Hizo agenda.hiyo elimu ya zamani ambayo inasemekana ilikuwa bora wakati mwingine ni stori tu kama za kwenye kahawa. kama ilikuwa bora mbona hatujaona matokeo yake kwa maendeleo ya nchi? Maana Tanzania haijawahi kuwa bora kiuchumi huko nyuma kuliko ilivyo hivi sasa. sasa tunajenga barabara za kutosha kwa kiwango cha lami, tunanunua ndege, tunajenga vyuo vikuu n.k
Zamani ipi. Zamani ni kuanzia lini kwenda wapi? maana haya yote yanayooneka sasa yanatekelezwa na waliosomea mfumo huu wa elimu ya sasa. Hizo darasa la nne nilikoma miaka mingi sana na waliosomea elimu hiyo kwenye mfumo ni wachache sasa. ni kwara tu wa kuwatisha vijana wa leo kuwa elimu ya zamani ilikuwa bora wakati hamna lolote. Ni sawasawa na kusema kupitia JKT ndo kuwa na uzalendo wakati Mafisadi wote na wezi wa mali za uuma walipitia JKT na walilewlewa enzi za Mwalimu.Hao viongoz karibia wote si elimu ya Zamani wanaosimamia Hizo agenda.
bado hujanielewa mkuu maana yangu kuu ni kwamba hawa walio darasa la tatu wao wataishia darasa la sita ndio mwisho na sio la saba km tulivozoea.Nimeptia Sera ya Elimu ya mwaka 2014 sijaona hilo. isipokuwa Sera imeelekeza mtoto kusoma Elimu ya awali (chekechea) mwaka moja akiwa katika ya miaka 3 na 5 na mtoto anaruhusiwa kuanza darasa la kwanza akiwa na miaka 4 kulingana na uwezo wa mtoto. hata hivyo suala la kuwa na maiak 6 au 7 haliwezi kuathiri chochote. Cha msingi ni kuwa na mazingira wezaeshi ya kufundishia na kujifunzia kuanzia elimu ya msingi hadi Sekondari.
Duuuh.. Hii ndo raha ya JFKwanza ondoa neno KUZURULA. Kama ulimaanisha KUZURURA, pia hapa JF sio mahala pa wazururaji. Ebo!
Kuzurula ipo sahihiKwanza ondoa neno KUZURULA. Kama ulimaanisha KUZURURA, pia hapa JF sio mahala pa wazururaji. Ebo!