Elimu ya msingi bure wakati michango ni lazima..? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Elimu ya msingi bure wakati michango ni lazima..?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Ghetto Diva, Dec 7, 2011.

 1. G

  Ghetto Diva Member

  #1
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ubure Wa elimu ya msingi uko wapi Kama michango ni lazima., ni wazazi wangapi ambao hawawezi kulipa michango Hiyo (elfu 20-40) zikitofautiana shule mbalimbali..? Kila mtoto Ana haki ya elimu, je itaitwaje haki wakati inanunuliwa...?
   
Loading...