Mapenzi kwanza yapasa tutambue kue ni afya kubwa mno na pia ni tiba ya maisha kiuchumi,kijinsia,kisaikolojia,kijamii na iata kitamaduni.Mapenzi yakifanywa kitalam basi huweza ongeza muda wa kuishi na watu huishi kwa fulaha mno.Mapenzi huwezi kuyatenga na kitu chochote iwe ni siasa,uchumi,utamaduni n.k.Hakna asiye penda mapenzi wala hakuna asiyependa.Basi heb tzingatie haya:
1 Mapenzi yafanyike kwa maliziano,
2 mapenzi yafanyike kwa kiasi kikubwa uck ama alfajiri epuka kufanya mapenzi mchana n hatari kiasi,
3 ijue itikadi na mtazamo wa mwenza wako kuhusu mahusiano,
4 muandae mwenza wako kabla ya kuanza tendo la ndo,
5 epuka kutokumfikisha kilele mwenza wako kwan n hatari kisaikolojia na afya pia.