Unapotea sana kujibu maswali ya wadau
Mwisho kusafiri ni wiki ngapi? Mfn Dodoma to Moshi kwa basiElimu kuhusu mama mjamzito wakati wa mimba hadi wakati wa kujifungua.
Uliza swali lako madactari watatoa majibu.
PVView attachment 983336
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio ya kwanza! Na ya tano mbili ziliharibika na nina watoto wawili
Sio ya kwanza! Na ya tano mbili ziliharibika na nina watoto wawili
Sent using Jamii Forums mobile app
Usafi najitahidi Sana tu! Clinic naenda na USS nmefanya ndio wamesema mimba IPO TR ! Asante kwa ushauri inabdi niende Hosp ingineMkuu, huitajiki kufanya mazungumzo ya kuandika, unatakiwa kongea na mtaalamu uso kwa kwa uso.
Ushauri wangu zingatia usafi, na fanya kwenda clinic, kwan clinic unaruhusiwa kwenda siku yoyote pindi utajihis kuwa unalo tatizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usafi najitahidi Sana tu! Clinic naenda na USS nmefanya ndio wamesema mimba IPO TR ! Asante kwa ushauri inabdi niende Hosp ingine
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hata me nmecheka Sana wallah
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]Tena ukiendelea nitakutus vibaya hadi ushindwe kuamin so, naomba uniache.
Kila mtu na stress zake sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]Mkuu mambo kama hayo, inategemea na ustrong wa mwanamke,
Anaweza hata kupigana vita hadi siku ya uchungu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]
Namfananisha na padri mcharo[emoji1787][emoji16][emoji16]