Elimu ya mama Mjamzito

Rekebisha lugha
Jukwaa la heshima hili.
mpendwa huyu Suriya ni mtu ambae amejiingiza kwenye masuala ambayo hana ufaham nayo. kuhusiana na kesi yangu nilitegemea naongea na mtaalam ambae angeweza japo kunipa ushauri ukanisaidia hebu sasa ona ancho nijibu hakifanani kabisa na madhumuni ya kutaka kusaidia jamii.
 
cc: Hornet
 
Mkuu mimi ni jinsia moja na wew.
Mimi sio mwanamke
Ndio maana niliona unanihoj kama vile unanipa kazi, kumbe ulifikili mimi msichana,

Mkuu mimi ni mwanaume.
ok asante mpaka hapa nimeshakuona wewe ni mtoto umeingilia mambo usiyoyajua kabisaa. subiri uolewe yakukute

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu haya maelezo ni wazi umekuja kuyatoa wakati huu.

Hukua umenieleza mwanzo ndio maana nikakwambia hivo.

Ila kama alifanya kitendo hicho katika mazingila ya kazi, basi HUYO DAKTARI NI KWELI KAFANYA MAKOSA.

NA SHAHIDI WA KWANZA WA KOSA HILO NI HUYO MKE WAKO.

Huyo daktari lazima aukumiwe kama mkewako akiwa tayar kutoa ushahid huo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hakuma mahali ambapo mimi nimekujibu vibaya Hornet angekua kaona najua lazima angenikosoa tu, namuheshimu Hornet sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
umeanza kujitambua?!!
wewe umejitolea kusaidia jamii kwa ushauri .. sasa yale matusi ndio ushauri wako ulionao au
 
Mkuu mimi sijatukana,
Kuna mahar nimeandika tusi kukutukana???

Najua nilichokosolewa ni kwamba nimetumia lugha nzito, nilipaswa kupumguza ukali wa maneno.

But samahan sana mkuu, halikua dhumun langu.
umeanza kujitambua?!!
wewe umejitolea kusaidia jamii kwa ushauri .. sasa yale matusi ndio ushauri wako ulionao au

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mimi sijatukana,
Kuna mahar nimeandika tusi kukutukana???

Najua nilichokosolewa ni kwamba nimetumia lugha nzito, nilipaswa kupumguza ukali wa maneno.

But samahan sana mkuu, halikua dhumun langu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Close that chapter
Tuendelee na dhumuni la mada

Read in between lines
 
Close that chapter
Tuendelee na dhumuni la mada

Read in between lines
umeanza kujitambua?!!
wewe umejitolea kusaidia jamii kwa ushauri .. sasa yale matusi ndio ushauri wako ulionao au
Mim nimalizie tu na kusema, ulivo toa hayo maelezo kwa urefu.

Ni kweli huyo daktari kafanya makosa.

NENDA KAMSHITAKI KABISA, Sheria lazima itamfunga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elimu kuhusu mama mjamzito wakati wa mimba hadi wakati wa kujifungua.

Uliza swali lako madactari watatoa majibu.

PVView attachment 983336

Sent using Jamii Forums mobile app
Salaam! Nna ujauzito week 15 napata maumivu kwenye kinena hapa chini na mwisho wa mapaja humu kunapotokaga mitoki! Maumivu nayaskia pale ninapotembea mwendo mfupi tu! Nilifanya ultrasound wakasema mtoto amekaa TR hivyo nirud mwez ujao!
Hii ni normal drs. Maana naumia natembea km mlemavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimba ya kwanza?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…