Kiongozi, taarifa inaongea kuhusu matokeo ya elimu yenu kwa miaka ya hivi majuzi. Hata mwaka jana... Sasa hao ndio Watanzania mnaojiita wa leo jameni kwenye mfumo duni kiasi hicho. Bora hao wazee wa hapo awali, kidogo walizingatia elimu, sidhani kama waliachia mwanafunzi anafikia kufanya mtihani wa mwisho kama hajui kusoma wala kuandika.
Hatari, maana inawafanya mnawaogopa Wakenya linapokuja suala la kufanya chochote kwa pamoja. Hadi mnasuasua kwa kila hatua.
Upo sahihi hapo pa sisi kujituma kwa sababu ya mazingira. Nchi yetu ni ndogo, nusu yake ni kame, hivyo inabidi kila Mkenya achakarike. Watu wanakesha wakisoma, siku hizi hapa kwetu digri ya kwanza haionekani kama kitu. Watu wengi wanasaka uzamifu/Masters kabla hata haujawaza kutafuta kazi. Mimi hapa nimeamka sasa hivi, baada ya kufanyia kazi taarifa/report fula usiku wote. Hakuna mzaha wala utani, lazima ukimbie au ukimbizwe. Lakini kwa Wabongo, kila mtu anabweteka kisa ardhi ni kubwa.Tatizo la mfumo wa elimu ni kubwa katika nchi yetu lakini hii siichukulii kama sababu kuu ya Yale uliyoyaandika....
Unajua Kenyans mpo aggressive kutokana na maisha magumu yaliyochangiwa na capitalism lakini kwetu huku ni vice versa...
Kuna sehemu hata katika nchi yetu watu ni aggressive kwa mfano watu wa dar wanaofanya kazi hadi usiku wa manane kwa ajili ya survival , arusha ,Kilimanjaro na Mbeya.
Mtu anaelima kwa misimu hadi miwili, anaeweka magunia ya mahindi, mchele na maharage..hawezi kuwa stressed na maisha kirahisi kama MTU asiyevipata hivyo vote
Ati second in the world..hahahaha...for real,your education needs some intervation.My brothers and sisters our neighbours are opportunists, they can do any thing to be at the centre of attraction, especially world wide. When the found out Kiswahili language is unique and the world is interested in it's foundation they quickly jumped into it. Nyerere who encouraged us to promote Kiswahili even at the risk of losing our ability of managing two languages.
When they knew Mount Kilimanjaro as the 2nd highest mount in the world and the 1st one in Africa, before we realised our neighbours are cashing on it. If they had a magic of moving it, we could have been talking in different sentences right now.
When they found out Tanzanite is only found in Tananzania, they only thing they failed to do is to rename the stone to 'Kenyanite' otherwise they could have done that years ago.
Do you think our neighbours care about us, forget it, what they are interested in is our potentials, now they have seen the only way of benefiting from our land is by bringing back East African Community.
Believe me, if what we have could be in their side, I don't even think they could have recognised us as neighbours.
You heard me thoughAti second in the world..hahahaha...for real,your education needs some intervation.
Good then, why don't you shut your f...ckn mouth and stay Kenyan?Upo sahihi hapo pa sisi kujituma kwa sababu ya mazingira. Nchi yetu ni ndogo, nusu yake ni kame, hivyo inabidi kila Mkenya achakarike. Watu wanakesha wakisoma, siku hizi hapa kwetu digri ya kwanza haionekani kama kitu. Watu wengi wanasaka uzamifu/Masters kabla hata haujawaza kutafuta kazi. Mimi hapa nimeamka sasa hivi, baada ya kufanyia kazi taarifa/report fula usiku wote. Hakuna mzaha wala utani, lazima ukimbie au ukimbizwe. Lakini kwa Wabongo, kila mtu anabweteka kisa ardhi ni kubwa.
Wakenya wengi tukija Bongo huwa tunahisi kama tupo kwenye holiday fulani. Na ndio maana unaona kuna wale hawataki kurudi nyumbani. Mara yangu ya kwanza kufika Bongo niliwashangaa sana Wabongo. Yaani watu hawana neno "deadline au makataa" kwenye misamiati yao. Unakuta Mtanzania anamlipia Mkenya nauli ya ndege, gharama za hoteli amfanyie kazi fulani, halafu Mkenya ndiye anaishia kumsukuma sukuma huyo Mtanzania. Maana kwenu nyie huwa hamjali hata kama mradi unachelewa kiasi gani.
Miezi yangu ya kwanza kwanza nilikua na wasiwasi sana kila nikiona miradi inachelewa chelewa halafu Wabongo hawaoenekani kujali. Yaani kama jambo la kawaida tu, mkuu wa mradi anakunywa pombe na kujiachia tu, wakati mimi inabidi nisubiri hadi usiku ndio hata ninusie chupa ya pombe. Wakati mwengine nakesha hotelini nikiandaa ripoti huku nina babaika maana muda unasogea na tunachelewa. Lakini kadiri muda ulivyosonga na ndani ya mwaka wa kwanza hata mimi nikaanza kulegea, ikawa nimeanza kuzoea kufanya vitu kibongobongo. Nikawa mvivu na mwenye vijisababu, maisha raha tu Bongo, pombe mwanzo mwisho na hakuna anayeonekana kujali wala kunipelekesha.
Mkenya ambaye ameingia katika hali hiyo, kumtoa labda kwa mapanga na hawezi kutoka hiyo Bongo, maana akirudi huku inabidi apelekeshwe. Hapa hatucheki....
Binafsi ilinibidi nichukue muda mrefu kujirekebisha, nikaacha pombe kabisa na kurejelea bidii ya maisha maana nilijikuta naharibu hela nyingi sana hiyo Bongo, vilabu watu walinifahamu kama rais wa Nairobi.
Labda kwenye huu uongozi wa Magufuli, mtabadilika. Naskia katumbua waziri chapombe, ndio taswira huko hata waziri haoni jambo kubwa kuingia bungeni akiwa mlevi na kujibu maswali kwa jeuri.
Hahhahhaahaha...waa...You heard me though
Good then, why don't you shut your f...ckn mouth and stay Kenyan?
Is Tanzania giving you pain in your ass?
Hahaha hii mada nimeamua niache kwanza kuichafua maana itakuwa shida
shule ya mabatiiiii
mnachonihuzunisha zaidi,.wanafunzi wanakuwa wazee
shida ya chakula
Hahaha hakuna umenena
[emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112]haka kajamaa kamevurugwa nashindwaga kuelewa bila kuitaja tanzania mavi yanabana sijui anapenda kuishi nchi yenye amani,njaa hakuna tofauti na kwao ardhi inamilikiwa na wageni hapo alipo hana hata kaheka kamoja tu cha kulimia sukuma wiki basi kama anapenda kuishi tanzania aje aolewa bongo maana tumemchoka anaipa mifagio nchi yake ambayo si lolote si chochote.
Una jua Annael huyu jamaa mie namuona juhaWatani tuendeleze hizi issue check hapa Elimu ya watue wenye uchumi wa kati:-
View attachment 349797
What’s the problem with education in Kenya? – Open Institute
Ameshakimbia tayari ameanza kuhamisha magori. Tukikaribia kufunga anahamisha gori na kulisogeza mbele zaidi.Una jua Annael huyu jamaa mie namuona juha
Yaani Akili yake inamtuma kuwa ataendelea kupata kick JF kama zamani kwa upumbavu wake tuki mkalia kimya!!?
Mada kaanzisha mwenyewe ila nakuhakikishia ataikimbia
Nawasubiri wakusanye kejeli zao
Yule nyoka aliyemdanganya Hawa kule bustanini alitokea KENYA that's why they have behaved like that!!Hakuna watu wenye maisha ya ajabu kama Wakenya. Kwa wale mlioko Zanzibar hebu fanyeni uchuguzi katika hotel ya kitalii iitwayo Breeze Beach Club&SPA. Kuna Wakenya wako tayari hata kuuza miili yao kwa ma afisa wa uhamiaji ili mradi wabaki Tanzania (Zanzibar). Kwa kifupi kipindi niko pale hawa watu walikuwa wanakuja huku wakichomekea makoti ila wakizoea ndipo utaona majivuno yao. Kwa kifupi Wakenya na Makaburu wana utofauti mkubwa sana.
Unajua huwa namshangaa huyu MTUAmeshakimbia tayari ameanza kuhamisha magori. Tukikaribia kufunga anahamisha gori na kulisogeza mbele zaidi.
Yani ndugu upo vizuri the Kenyans are so aggressive in nature due to the hardships they passed like famine,terrorism,droughts,tribalism etceteraTatizo la mfumo wa elimu ni kubwa katika nchi yetu lakini hii siichukulii kama sababu kuu ya Yale uliyoyaandika....
Unajua Kenyans mpo aggressive kutokana na maisha magumu yaliyochangiwa na capitalism lakini kwetu huku ni vice versa...
Kuna sehemu hata katika nchi yetu watu ni aggressive kwa mfano watu wa dar wanaofanya kazi hadi usiku wa manane kwa ajili ya survival , arusha ,Kilimanjaro na Mbeya.
Mtu anaelima kwa misimu hadi miwili, anaeweka magunia ya mahindi, mchele na maharage..hawezi kuwa stressed na maisha kirahisi kama MTU asiyevipata hivyo vote
Mkuu tumesuasua,kuwapa ardhi na fursa za tz ili waunde taifa la kenya ndani ya tzkitu gani TZ tumesuasua?
Upo sahihi hapo pa sisi kujituma kwa sababu ya mazingira. Nchi yetu ni ndogo, nusu yake ni kame, hivyo inabidi kila Mkenya achakarike. Watu wanakesha wakisoma, siku hizi hapa kwetu digri ya kwanza haionekani kama kitu. Watu wengi wanasaka uzamifu/Masters kabla hata haujawaza kutafuta kazi. Mimi hapa nimeamka sasa hivi, baada ya kufanyia kazi taarifa/report fula usiku wote. Hakuna mzaha wala utani, lazima ukimbie au ukimbizwe. Lakini kwa Wabongo, kila mtu anabweteka kisa ardhi ni kubwa.