Rafiki zangu nami tumetengeneza njia ya kupata nyenzo za elimu za O-level kwa kupitia simu. Masomo yanayopatikana kwa sasa ni Uraia, Historia, Jiografia, Biolojia, Kemia, na Fizikia.
Kuijaribu tuma MSAADA kwa 0759350150 na utapewa maelekezo.
Ukituma MSAADA kwa 0759350150 utapata orodha ya features zifuatazo: NOTES, MAANA, MASWALI, MATOKEO. Ukituma jina la feature utapata maelezo zaidi. Kwa mfano, ukituma MATOKEO utapata ujumbe huu: "Tuma ujumbe kama MATOKEO*F4*X*Y*Z, lakini badala ya X andika mwaka, badala ya Y andika namba ya centre, na badala ya Z andika namba ya mwanafunzi. Mfano: matokeo*f4*2014*s0101*0022"
NOTES zipo za uraia, historia, jiografia, biolojia, kemia, na fizikia. Form 1 mpaka Form 4.
Kuna MASWALI ya multiple choice ya masomo yaleyale pia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.