nakushangaa sana we dada, ulivyo......Ndio madhara ya kufeli form 4... Sio kila kitu ukionacho facebook ni kweli
jumlisha kwa ulie nae sasaDuu! Kama ni kweli basi wengi tuna shida maana nikijumlisha ha ya wale X wangu wa nyuma kote calculation inanipa 8!
12+7=19/9= 2 baki 1, ukigawa kwa 9 hesabu ikawa haijaisha hiyo baki ndo unatumia kusoma majibu, kwa hiyo hapo angalia majibu ya 1 then uangalie taswira ya ndoa yako kama ina relate na jawabuDunia inambo haya nipe jibu la 5+7+7÷9=? Nini tafsiri ya jibu la ndoa maana sio kila majina yataangukia ktk namba zako mengine yanatoa na pointi
ukitaka kuprove jibu unalopata angalia taswira ya mahusiano/ndoa yako kama ina relate na jibu ulilopataAaahahaa kama ni kweli basi sijakosea maana imebaki 2
Hizi ni porojo tu zisizo na msingi wowoteWakuu japo elimu zingine sio rasmi bt zimekuwa na manufaa zinapotumika, hii elimu ya kumjua mwenza sahihi nimeikuta pahala nikajaribu ikaleta uhalisia then nikaamua kushare nanyi.
chukua idadi ya herufi za jina lako na mwenza wako kisha jumlisha na 7 kisha gawa kwa 9, ukigawanya hesabu ikaisha hilo ndo jibu mfano:
JESCA+JOSEPH=11+7=18/9=2 kisha utasoma maana ya jibu.
kama hesabu haijaisha ile baki ndo utaisoma jibu. mfano.
MARIAMU+YUSUFU=13+7=20/9=Jibu 2 na kubaki 2, hiyo baki ndo utatumia kusoma maana ya jibu
SOMA MAJIBU
Ikibaki 1=ndoa/mahusiano hayawez dumu
Ikibaki2=ndoa nzur na mtakubalika pande zote
Ikibaki3=ndoa ipo ila itaingiliwa na ndugu na mambo ya kishirikina
Ikibaki4=mapenzi ya furah daima
Ikibaki5=ndoa nzur na mtapata utajir
Ikibaki6=familia isoisha maradhi
Ikibaki7=ndoa ipo na itadumu
Ikibaki8=ndoa mbaya coz mmoja atamuua mwenzake
Ikibaki9=ndoa ipo bt mkae mbali, mkikaa karibu ugomvi ni kila mara
fanyeni hesabu then mlete mrejesho.
Hapa kwa 9 ndio umebungi hakuna namba utagawa na 9 afu ikabaki 9.Wakuu japo elimu zingine sio rasmi bt zimekuwa na manufaa zinapotumika, hii elimu ya kumjua mwenza sahihi nimeikuta pahala nikajaribu ikaleta uhalisia then nikaamua kushare nanyi.
chukua idadi ya herufi za jina lako na mwenza wako kisha jumlisha na 7 kisha gawa kwa 9, ukigawanya hesabu ikaisha hilo ndo jibu mfano:
JESCA+JOSEPH=11+7=18/9=2 kisha utasoma maana ya jibu.
kama hesabu haijaisha ile baki ndo utaisoma jibu. mfano.
MARIAMU+YUSUFU=13+7=20/9=Jibu 2 na kubaki 2, hiyo baki ndo utatumia kusoma maana ya jibu
SOMA MAJIBU
Ikibaki 1=ndoa/mahusiano hayawez dumu
Ikibaki2=ndoa nzur na mtakubalika pande zote
Ikibaki3=ndoa ipo ila itaingiliwa na ndugu na mambo ya kishirikina
Ikibaki4=mapenzi ya furah daima
Ikibaki5=ndoa nzur na mtapata utajir
Ikibaki6=familia isoisha maradhi
Ikibaki7=ndoa ipo na itadumu
Ikibaki8=ndoa mbaya coz mmoja atamuua mwenzake
#Ikibaki9=ndoa ipo bt mkae mbali, mkikaa karibu ugomvi ni kila mara
fanyeni hesabu then mlete mrejesho.
Hatari nikiacha initial ambayo ni jina baba napata 1,kwa maana ya kutumia surname, nikitumia jina la baba kirefu cha initial napata 4, mimi mwenyewe herufi zangu jibu ni 2, hii ni fitinaWakuu japo elimu zingine sio rasmi bt zimekuwa na manufaa zinapotumika, hii elimu ya kumjua mwenza sahihi nimeikuta pahala nikajaribu ikaleta uhalisia then nikaamua kushare nanyi.
chukua idadi ya herufi za jina lako na mwenza wako kisha jumlisha na 7 kisha gawa kwa 9, ukigawanya hesabu ikaisha hilo ndo jibu mfano:
JESCA+JOSEPH=11+7=18/9=2 kisha utasoma maana ya jibu.
kama hesabu haijaisha ile baki ndo utaisoma jibu. mfano.
MARIAMU+YUSUFU=13+7=20/9=Jibu 2 na kubaki 2, hiyo baki ndo utatumia kusoma maana ya jibu
SOMA MAJIBU
Ikibaki 1=ndoa/mahusiano hayawez dumu
Ikibaki2=ndoa nzur na mtakubalika pande zote
Ikibaki3=ndoa ipo ila itaingiliwa na ndugu na mambo ya kishirikina
Ikibaki4=mapenzi ya furah daima
Ikibaki5=ndoa nzur na mtapata utajir
Ikibaki6=familia isoisha maradhi
Ikibaki7=ndoa ipo na itadumu
Ikibaki8=ndoa mbaya coz mmoja atamuua mwenzake
Ikibaki9=ndoa ipo bt mkae mbali, mkikaa karibu ugomvi ni kila mara
fanyeni hesabu then mlete mrejesho.
weka jina lako pekee na la mwenza wako bila majina ya wazazi ndo utapata jawabu sahihHatari nikiacha initial ambayo ni jina baba napata 1,kwa maana ya kutumia surname, nikitumia jina la baba kirefu cha initial napata 4, mimi mwenyewe herufi zangu jibu ni 2, hii ni fitina
weka jina lako pekee na la mwenza wako bila majina ya wazazi ndo utapata jawabu sahih
ndio tulishaachana bila ata sababu tukajikuta tumeacha tu12+7=19/9= 2 baki 1, ukigawa kwa 9 hesabu ikawa haijaisha hiyo baki ndo unatumia kusoma majibu, kwa hiyo hapo angalia majibu ya 1 then uangalie taswira ya ndoa yako kama ina relate na jawabu