Plato JF-Expert Member Joined Aug 28, 2010 Posts 420 Reaction score 94 Sep 4, 2010 #1 Wanafunzi wetu wa vyuo vikuu ni mafisadi na mazezeta.hawapiganii zaidi ya hela za mikopo.ona sasa hivi karibia wote hawatapiga kura na hatujaona kama hilo linawagusa.wameenda shule ila ujinga bado umewajaa
Wanafunzi wetu wa vyuo vikuu ni mafisadi na mazezeta.hawapiganii zaidi ya hela za mikopo.ona sasa hivi karibia wote hawatapiga kura na hatujaona kama hilo linawagusa.wameenda shule ila ujinga bado umewajaa
M mwita ke mwita JF-Expert Member Joined Aug 13, 2010 Posts 8,058 Reaction score 3,764 Sep 4, 2010 #2 hilo ni kweli wanaongoza UDOM wanafuata SAUTI,TUMAINI,DUCE na wenginne including ivukoni mzumbe na udsm
hilo ni kweli wanaongoza UDOM wanafuata SAUTI,TUMAINI,DUCE na wenginne including ivukoni mzumbe na udsm