Elimu ya CPA!

primaquin

Senior Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
161
Reaction score
94
Ndugu habari!
Ninaomba mwenye kujua kuhusu kusoma/kusomea/kutafuta cheti cha CPA kwa mtu ambaye undergraduate hakusoma masomo ya biashara inakuwaje? Yaani process/ngazi zilizopo na gharama yake!
Na je nikihitimu ninakuwa considered sawa na mtu aliyesoma biashara undegraduate?
Asanteni!
 
Nicheck 0769668747 ....whatsap nikutumie PDF documents nzima za CPA . ilo ulilosema ni kweli mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…