mkuu, hiki ni chuo cha KIISLAMU, kama jina lake lilivyo...bila kuvaa shungi, kibaghalashia na kanzu, na jina lako kutokuwa na ubini wa kiislamu, kamwe usithubutu kuomba nafasi kwenye chuo hiki. Utapoteza muda na fedha zako bure bilashi.
Watanzania ifike mahali tujitambue...watu wa aina hii ambao wanaleta mada za uchochezi ili watu waanze kutoleana kejeli kwa imani zao tuwe tunawapotezea...hii ndio itakuwa dawa ya watu wenye akili za kuku...huna lolote uchonganishi tu....
huyu mleta mada anafi_wa. Amalizie mwenyewe hiyo herufi moja iliyobak,hivyo hapa yupo mawindoni anataft bwana wa kumshughulikia hilo linda linalomchonyota
Majini ni waislam na sehemu yao msikitini na wamesilimu na yanafunga na pia yanakwenda hija. Kwa waislam majini (mapepo) ni ndugu zao ushaidi Qur'an suratul jinn 72:1-4 kundi kubwa la majini lilikuja kusikiliza Qur'an yakasema nyamazen msikilizen maneno ya mnyezi mungu na baadhi yao yakasilimu.
Kwa wakristo majini ni malaika walio mwasi Mungu wa mbingun na kutupwa duniani yanaitwa majini mapepo nguvu za Giza pepo wabaya dawa ni kwa damu ya YESU Kristo tu. Waefeso 6:10-12
Hiyo kazi ya waislam mnasema sheikh kasema ikiwa wewe ni msomi wa dini. Niambie kwa mjibu wa Qur'an nini maana ya neno kafiri pia uniambie kafiri wa kwanza ni nani wapili pia ni nani na watatu ni yupi
Uliwahi ona shule yeyote ya kiislam inamvuto? Haya walipewa madaraka waislam wanavurunda utendaji wao nadhan kwasababu ya majini yanawatesa sana mwingine anasafiri kwaajili ya kwenda kubembea kweli??? Si aende kwenye mabembea ya bongo Jamani yapo kibao?
Hivi tanzania kuna universities?! ziko ngapi? mnasoma kwa hizo uni? Ila inaonekana kama hamnufaiki navyo maana raia wa tanzania hauwezi kumtofautisha kati aliyesoma au hajasoma wote mna akili za kuku tena ninaweza sema afadhali hata kuku...sijui hii nchi imerogwa na nani??? huruma sana!!
kusoma tanzania ni kuzidi tu kujidumaza akili, yani kuanzia primary - university...na humu jf ndio inaonesha kuwa elimu ya tanzania inadumaza ubongo...poleni sana watanzania
Kuna research inaonesha kuwa watanzania 95% walikosa lishe bora walipokuwa wadogo yani.walikuwa na mtapia mlo kwa upande wangu naona hii nayo ni sababu inayowafanya muwe na akili za kuku kwahiyo sio kosa lenu ni kosa la walezi wenu....
Jf siku hizi imekuaje? wakati nasoma thread kwa mara ya kwanza niliingia kwenye coment kwa shauku nikitaka kufaham juu ya hilo maana hata mimi bado sifaham quality ya hki chuo. mbona tumeona thread nyng hapa zikiuliza quality ya SAUT, ST JOHN, BUGANDO, ST JOSEPH lakini saijaona wakristo wakijib kwa mihemko ya aina hyo? ni vema kama kitu haujui ukawa kimya. NAWASILISHA
Kuna research inaonesha kuwa watanzania 95% walikosa lishe bora walipokuwa wadogo yani.walikuwa na mtapia mlo kwa upande wangu naona hii nayo ni sababu inayowafanya muwe na akili za kuku kwahiyo sio kosa lenu ni kosa la walezi wenu....