elimu ya china

mhalisi

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
1,181
318
wana JF wenzangu nataka kwenda kusoma degree ya kwanza nchini china, naomba kuuliza kuhusu ubora wa elimu ya china na degree ya kwanza China unasoma kwa miaka mingapi?
 

kadeti

JF-Expert Member
Aug 19, 2011
896
661
unasoma kwa miaka minne mwaka moja unajifunza kichina km lugha ya kufundishiwa then unasoma mitatu ya course yako,ndo hayo tu km tujuavyo.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom