Elimu ya bure kuanzia January 2016 ni kwa wanafunzi wote kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha nne ama ni kwa wanafunzi wapya watakaojiunga darasa la kwanza 2016?
wanatoa 20000 au pamoja na michango?
Elimu ya bure kuanzia January 2016 ni kwa wanafunzi wote kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha nne ama ni kwa wanafunzi wapya watakaojiunga darasa la kwanza 2016?
JPM Mimi namkubali sana,watu wanadhani majungu yanajenga! wanasahau kama hakuna kinachoshindikana chini y? jua,sio elimu tu,hata kumlipa mshahara kila mtanzania Pia inawezekana ni kujipanga tu n? kumtia moyo kiongozi wetu.
sera ya elimu iliyopitishwa na bunge la mwezi wa nne waka huu,Miongoni mwa yaliyopitishwa ni pamoja na;
1:Elimu ya msingi kuwa ya lazima kwa kila mtoto wa Tanzania.
2:Elimu ya msingi/lazima kuwa ya kuanzia
chekechea-la 12
3:Elimu hiyo ya msingi/lazima,itolewe/ipatikane bila vikwazo ( k.m. ada) ktk shule zote za umma ili kumpa fursa kila mtoto wa kitanzania kujipatia maarifa yatakayomuwezesha kujisimamia mwenyewe.
Haya ni baadhi tu ya mengi yaliyopitishwa na bunge ktk sera hiyo ya elimu. Ninachomaanisha hapa nikwamba; swara la elimu ya msingi kuwa bure sio takwa au mapenzi ya mtu, bali ni sera/dira ya taifa iliyokwisha pitishwa na bunge tayari na kuzinduliwa na rais mstaafu J.M.Kikwete.
Shida hapa ni ule ugonjwa wetu watanzania tulionao wengi wa kupoteza kumbukumbu ya mambo mhimu/nyeti kwa mda mfupi, pia kutofatilia mambo muhimu na kupenda kuendeshwa na ushabiki zaidi.
Tunayo kazi kubwa sana sisi watanzania ya kuzuia kutodanganywa kirahisi hivi.
Elimu ya bure kuanzia January 2016 ni kwa wanafunzi wote kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha nne ama ni kwa wanafunzi wapya watakaojiunga darasa la kwanza 2016?
Hv elimu bure huu ni uwaji wa elimu tanzania kabisa hata marekani pamoja nakuwa nakuwa na uchumi imara bado elimu inagharamiwa siungi mkono hili.
Nakupangia ada shule za binafsi hili nitatizo serikali boresha elimu katika shule zako ufaulu uwe juu mazingira safi ya shule automatic wazazi watapeleka watoto serikalini TUSIUWE USHINDANI TUKITARAJIA UBORA WA ELIMU YETU
mkuu unamiliki shule?
Nilipata kusikia wamiliki wengi wa shule hizi za bei kali wanafanya elimu kama biashara kwani wao walisoma karibu na bure miaka hiyo, je kuna ukweli wowote katika hayo?
bure ni shule za serikali siyo binafsi.