Mzunguko wa elimu Africa:
1- Wale wanafunzi wanaoongoza shuleni hupelekwa kwenye engineering na medical schools huku
2- Wale waliokuwa wa wa pili wanachukua zao MBA na LLB na kuja kuwa mameneja wa wanafunzi wa kwanza.
3- Wale waliokuwa wa tatu wanageukia siasa na kuwaongoza wote hapo juu wa kwanza na wa pili..
4- Wale waliofeli wanaenda jeshini.. hao hapo juu wakizingua jeshi linapindua nchi...
5- Wale wasiosoma wanakuwa waganga wa kienyeji, wote hapo watakuja kwa huyu wa mwisho mambo yakiwashinda...