Hayo unayotaka mbona yapo, ni chaguo la mwanafunzi mwenyewe apitie stashahada au A-level kwenda somea shahada yoyote.
Ni wazo zuri sis ila ukiangalia hata shule ya msingi kwenda O'level vitu vingi vimebadilishwa lugha tu. Kama kuna reforms muhimu bhasi ni kuibadili elimu kuwa competence based na hili litafanikiwa kama tutaangalia zaidi quality katika kupima maendeleo ya kielimu kuliko viwango vya ufaulu na idadi ya wanafunzi; hivi vyote havina impacts sana
Umenena vema mkuuA-level ni hatua ya kupunguza number of students bcoz our education is just like a pyramid sijui naeleweka bt nlisoma miaka ya nyuma kidogo ni maoni tu
A-level ni hatua ya kupunguza number of students bcoz our education is just like a pyramid sijui naeleweka bt nlisoma miaka ya nyuma kidogo ni maoni tu
Uko sahihi bro,nachohisi hakuna system ya feedback/evaluations...inafaa au ingependeza wanafunzi na waliokuwa wanafunzi(Former students)..kutoa their expectations and their experiences ..na anaetunga syllabus anaangalia soko la ajira linahitaji nini then anabalance expectations/experiences/demand..hapo ndio anatunga Syllabus..lol
Unajidanganya sanaUtaratibu wa A level hapa Tanzania ni utaratibu mzuri sana na uendelezwe isiwe kama Kenya ambapo kidato cha nne anaenda moja kwa moja Chuo Kiuu. Naona hawa wana mapungufu.
Una wazo nzuri keep pushing, mkuu[emoji1666]Mkuu hili ni tatizo la kimfumo lisiachwe kwa uchaguzi wa mwanafunzi..shule za secondary zifundishe courses ambazo ziko relevant kama vyuo vya private...au mkuu unaona sawa wanafunzi kila mwaka wanaingia A-level kusoma vitu ambavyo havitawasaidia kwenye career zao?? huu mfumo naona ubadilike ….