Elimu W.Lukuvi na viongozi wengine.

Elimu W.Lukuvi na viongozi wengine.

Mr Dev

Member
Joined
Feb 11, 2013
Posts
12
Reaction score
0
Ndg wanajf, pole na majukumu, nmefkria sana, hatmaye nmeamua kujua Kuhusu elimu ya waziri Lukuvi, make nmekuwa naskia kwamba wadau mbalmbal wa siasa wakihoji elimu za viongozi wengne hasa wa upinzani, wanaoelewa nisaidien kujua.
 
umeshaijua ya nini sasa kuja jamvini?

Tafta tovuti ya bunge, ukifika hapo mchek Lukuvi, utaona profile yake. Kama hajabadilisha(update taarifa zake, elimu yake ya juu ni diploma ya kilimo nadhani kaipatia ughaibuni.
 
Mkuu kama umeenda shule tafakari huu usemi kisha tathimini hoja yako upya. " Grades don't measure intelligence and age doesn't define maturity"
 
Ndg wanajf, pole na majukumu, nmefkria sana, hatmaye nmeamua kujua Kuhusu elimu ya waziri Lukuvi, make nmekuwa naskia kwamba wadau mbalmbal wa siasa wakihoji elimu za viongozi wengne hasa wa upinzani, wanaoelewa nisaidien kujua.

Ana elimu ya cheti cha ualimu (UPE) chuo cha ualimu Chamwino.
 
Back
Top Bottom