miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
Well said education is bridge
ndo mana utakuta vijana wanavyeti mpk vya PCCB lakin kaz hawana.....nyambafuuu
Lady Lan, usicheke hali ni mbaya huku mitaani
Hahahaaa mtaani kote huko hata hapa mi mwenyewe napumulia mashine namivyeti yangu!
hahahaha pole sana
Asante,hata hzo garaduation za vi CPA na vi mastaz nimezira kwenda!
hahaha unamambo wewe, yani unagomea graduation kisa kazi...........
stop worin bhana ya time is coming :cool2: