Elimu ni ufunguo wa ufahamu

Elimu ni ufunguo wa ufahamu

mtvbase

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2014
Posts
1,243
Reaction score
563
SHULE BILA ADA:Tangu tunakua unaambiwa ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA lakini hatuambiwi KITASA/KUFULI la Maisha ni kitu gani..Unakuwa bize kusaka ufunguo wakati hujui utautumia kufungulia nini..LISTEN...Nia ya Elimu ni kukusaidia kufungua MIND YAKO...Mind ndio KITASA CHA MAISHA!

Usipokuwa na Ufahamu wa kutosha utashindwa ku-UNLOCK vilivyomo ndani ya Mind yako na Elimu ndio inakupa huo Ufahamu!...Nia ya Elimu sio KUKUPA VYETI ili ukawe Mwajiriwa..HELL NOOO...Kuna watu wako Busy kusoma MASTERS' ukimuuliza UNASOMA YA NINI anakwambia "Ofisini kwetu ukiwa na Masters Degree wanaongeza Mshahara"...IS THAT ALL UR MIND CAN THINK AND OFFER??Akili zao zimefungiwa ndani ya "THERMOS",wanadhani AJIRA/CAREER ndo kila kitu..Wanaenjoy lile joto la kwenye THERMOS wanadhani Maisha yameishia hapo..Siku 1 THERMOS itafunguliwa,mtu anaambiwa YOU ARE FIRED...HATUTAKUONGEZA MKATABA WAKO
UKIISHA...TUNAFANYA COST CUTTING INABIDI KUPUNGUZA STAFF.

Angalia jinsi wanavyodata..wengine wanajiua..wengine wanapata Stroke na ku-Paralyse..Thermos imefunguliwa,walizoea joto sasa wamekumbana na baridi kama Urusi..
Kama unasoma ili ukawe mtumwa wa mtu mwingine in the name of CAREER wewe bado UR NOT EDUCATED maana Una Ufunguo lakini KITASA HUJUI KILIPO!
Una Degree..SAWA...Una CPA...SAWA...Una ACCA...SAWA...una CMA...SAWA..una Masters...SAWA...Lakini kama hivi Vyeti havikusaidii kutengeneza CAREER yako mwenyewe kwa kuweza ku-IGNITE potential uliyonayo na kuweza kutengeneza SOMETHING OF UR OWN una ufunguo usio na kitasa...Natamani tuelewe hili..Wewe unayesoma sasa hivi,Maliza Chuo ukiwa na Mentality of Creating Ur own thing..Acha mawazo ya kutembeza bahasha..Elimu ikusaidie kukupa Ufunguo wa Kupanua Wigo wa jinsi Akili yako inavyofikiri na Siku 1 utengeneze kitu chako ambacho utakaa na kusema THIS IS MY OWN CREATION..
---- Education kama hujui Kitasa kilipo,Huo ufunguo HAUNA DILI!
 
Mada yako nzuri sana ila hujaonyesha kuwa ni kwa vip wasomi wanakuwa watumwa wa wasioma. Justify yourheading!!!
 
Nimegundua wewe ni mwanafalsafa maana mada yako imewafikirisha wengi. Hakuna kitu kibaya maishani kama kuwa mtumishi wa kupewa mshahara. Elimu ya kisasa imetudumaza sana. Ni watu wachache walioshtuka, hasa wale wasiosoma.
 
Woooooow bravo nice thread mtvbase ndo mana Niki II akaimba sitaki kazi coz naisi alishaona kitu kama ukisemacho wewe
 
Last edited by a moderator:
Topic nzuri....though mjumbe hapo juu anajiribu kutaka kuonyeshe uhusiano wa kichwa cha habari na content(thanx pia kwa kuchange heading).......kwa mtizamo wangu ni kuwa,ni kweli wasomi ni watumwa wa wasio-wasomi in a sense kwamba,ambaye hajasoma saaaana anakuwa na wepesi wa kujitambua(kutambua fursa zinazomzunguka kwa uharaka pasipo visingizio vingi) tofauti na wengi wa wasomi walivyo.

Wasomi wengi wa(tu)naishia kujivunia mavyeti tu,badala ya kutumia kaelimu tulicho nacho kuona fursa na kuzichangamkia.Hebu tuwatazame wamachinga,makonda,wakaanga chips,wauza maji kwa mikokoteni-maisha yao yanasonga tofauti na wasomi kuvimba kichwa na vyeti ili hali hata mie mfukoni hakuna.

Now its time kwa wasomi kujitambua na kuleta mabadiliko,kwa umoja wetu na taaluma zetu,hebu sasa elimu hii itumike ku-unlock hicho kitasa/kufuli la maisha-ambalo ndiyo MIND!!!
Barikiwa mleta mada!
 
Umesema ukweli ambao ni mchungu maskioni mwa wengi wetu.
 
Pokea zawadi kibao hapa chini nakuletea sasa hivi
 
tuna masikio ila hatusikii


Mkuu MO11 wabongo ndo tulivo...
We always want to see what we want to see, and to hear what we want to hear...
 
Last edited by a moderator:
ungetoa credit basi kwa bikira wa kisukuma kule instagram ulipokopi au ndio wewe mwenyewe??
 
Back
Top Bottom