Akademician
Senior Member
- May 20, 2015
- 143
- 36
mkuu hiyo hela ni ndogo sana mzee
Hiyo TZS 12M ni sawa na Kama USD 6K yaani hata semister moja haitoshi. Endelea kuzikusanya!.
nashukuru mkuu.
Ni kama amount gani ya tz inaweza kukidhi?
Ulaya nchi gani?na chuo gani?
Afu ndio mtu anaweza kufanya tadhimimi
NDUGU naomba mnisaidie KWENYE HILI.
Kwa BAJETI ya MILIONI 12 TSHS. NAWEZA KUSOMA MASTER YA MASS COMMUNICATION Ulaya?
Ikiwa ni gharama ya Nauli ya kwenda, Ada, Malazi Na maHITAJI ya Darasani?
Na ni NCHI GANI YAWEZA KUWA Na gharama nafuu?
Karibuni.