marashi ya pwani Senior Member Joined Sep 30, 2024 Posts 125 Reaction score 141 Oct 23, 2024 #1 Chadema wanataka mtu asiyekuwa na elimu ya form six kuendelea asichukue form ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi wa serikali za mitaa Lakini imekuwa tofauti kwa watesi wao kusoma na kuandika inatosha kuchukua form Sasa wenzangu na sie chadema kindaki ndaki elimu changamoto ila tunakubarika mtaani ndio tuache ipite mpaka au Kuna mabadiriko? AHSANTE
Chadema wanataka mtu asiyekuwa na elimu ya form six kuendelea asichukue form ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi wa serikali za mitaa Lakini imekuwa tofauti kwa watesi wao kusoma na kuandika inatosha kuchukua form Sasa wenzangu na sie chadema kindaki ndaki elimu changamoto ila tunakubarika mtaani ndio tuache ipite mpaka au Kuna mabadiriko? AHSANTE
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 371,708 Reaction score 861,053 Oct 23, 2024 #2 Lakini hili lilikanushwa
marashi ya pwani Senior Member Joined Sep 30, 2024 Posts 125 Reaction score 141 Oct 23, 2024 Thread starter #3 Mshana Jr said: Lakini hili lilikanushwa Click to expand... Sijapata tariifa ila kama ni kweli Bado hatuja chelewa acha harakati zianze
Mshana Jr said: Lakini hili lilikanushwa Click to expand... Sijapata tariifa ila kama ni kweli Bado hatuja chelewa acha harakati zianze
T Tui JF-Expert Member Joined Jun 2, 2018 Posts 5,779 Reaction score 7,770 Oct 23, 2024 #4 Hawathubutu kusema hivyo.Lema, Sugu na wengine wengi wangekuwa,hawana sifa ya kugombea Uenyekiti wa mtaa sembuse ubunge.Na wanavyopenda ruzuku sidhani itatokea.
Hawathubutu kusema hivyo.Lema, Sugu na wengine wengi wangekuwa,hawana sifa ya kugombea Uenyekiti wa mtaa sembuse ubunge.Na wanavyopenda ruzuku sidhani itatokea.