Elimu na uelewa katika barabara za mabasi yaendayo kasi

audrey ryan

Member
Apr 8, 2016
7
2
Jaman ndugu zetu wa askari wa barabaran wanatakiwa kuwafanya wananchi hasa madereva wa vyombo vya moto kama madereva wa daladala,pikipiki (boda boda ), nk kuheshimu bara bara hizo kwa kutotumia na kuziachia vyombo husika yani hayo mabasi ya mwendo kasi ili tabia hii ianze kuzoeleka mapema kwa wananchi na kwa kufanya hivi tutakuwa tunaepusha hasara na madhara ambayo yataletwa na muingiliano wa matumizi wa barabara hizi.
Mfano juzi nimeona dala dala limegongana na basi hilo la mwendo kasi na hapo hata bado hajaanza kazi vizuri.
Pia polisi nao watumie mda huu kuwaelemisha watu na sio ndio sababu ya wao kuchukua faini wakati hawajotoa elimu ya kutosha kuhusu matumizi na alama hizo za barabaran .
 
Back
Top Bottom