Unapouliza ili swali lazima tujue unamuuliza mtu has na gani.
Kwa maana swali kama ili huwezi kumuuliza mtu Chizi lazima atakwa na ajili timamu
Ila ili swali lingeulizwa na mungu jibu lingekuwa raisi sana (AKILI)
Lakini limeulizwa na mtu kama wewe jibu jepesi (PESA)
Kwa kuwa najijua akili tayari ninazo lakini sio za shulee,
Ili mradi Nina za kudadavua na kupiga Pasi nguo inatosha kabisa kuchagua kitu ambacho sina.