Kwa hiyo elimu ya form four unaichukulia kawaida sana. kuelimika ni kuweza kuhamisha mafundisho uliyojifunza katika kukabili changamoto za maisha ya kila siku. kuwa na degree na masters sio guarantee ya kipimo kuwa mtu ameelimika. Gwiji wa elimu ya fizikia Albert Einstein anasema elimu ni kile kinachofanywa na mtu baada ya shule. Wewe umeweza kutumia mafunzo uliyoyapata kuzikabili changamoto zako.