Elimu na Kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Elimu na Kazi

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mkillindy, Sep 17, 2011.

 1. Mkillindy

  Mkillindy Member

  #1
  Sep 17, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vijana wanajitahidi sana kusaka elimu pasipo kuangalia kuwa wapi watapata kazi.
  Yap, vizuri ila jiulizeni mtafanya wapi kazi ndo muisake elimu kwa hasira.
   
 2. Profee Essoree

  Profee Essoree Member

  #2
  Sep 17, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  twendeni mikoani kaz zipo bwana,hapa bongo kujuana sana!
   
 3. rbsharia

  rbsharia Member

  #3
  Sep 17, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tatizo sio wapi kuna kazi bali hatujengwi wala hatujijengi kifikra kuwa ni jinsi gani tutaweza kubuni kazi zetu wenyewe kutokana na elimu tunazopata.
  Kila kitu kinawezekana ila ukijenga imani kuwa vitu ni vigumu basi jua kuwa utashindwa tu.
  Kwa mfano hawa vijana wa Jigambe, ingawa ni wadogo kiumri lakini mbona wametumia elimu zao walizopata na wameweza kubuni systems ambazo kwa sasa zinafanya kazi na kila mtu anaweza kuzitumia na kunufaika?
  Tembelea www.jigambe.com na www.jigambeads.com uone na uelewe kuwa mambo yanawezekana.
   
 4. rbsharia

  rbsharia Member

  #4
  Sep 17, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kweli mikoani kazi zipo lakini sio kuwaza jinsi ya kuajiriwa tu, bali tuumize vichwa kujiajiri pia. popote tunaweza kubuni miradi na kujiajiri.
  Mfano wangu ni kwa hawa vijana wa Jigambe ambao ni Watanzania. Wamewezaje?
  www.tanzaniakwetu.com ni mfano wa site ya kitanzania iliyoundwa na kuendeshwa na watanzania waliojiajiri.
   
Loading...