Elimu kwa njia ya Posta au Mtandao

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,292
Reaction score
6,773
Habarini za asubuhi,

Naomba kufahamu kama aina hii ya elimu bado inapatikana nchini kwetu, inatolewa na vyuo vipi, kwa gharama ipi na ni elimu ya aina gani? (biashara,kilimo,ufugaji n.k).

Kwa ngazi ipi Cheti, Astashahada au shahada pia gharama zake
zikoje?

Kwa ujumla nahitaji kujua kama kuna elimu MASAFA inaolewa hapa Tanzania.
 
OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA. Naikubali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…