TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,434
- 3,553
Kwenye intellectualism ipo Dr.lakini lazima katima kuiandika uindicate(PhD),mf.Dr.Kitima(PhD)Mimi najua Dr ni tabibu tu , unakuta mtu kasomea kiswahili eti nae ni dr😁
SawaKwenye intellectualism ipo Dr.lakini lazima katima kuiandika uindicate(PhD),mf.Dr.Kitima(PhD)
Kuna degree za phd katk ngaz tatuKuna huu utaratibu wa watu kujiita Dokta flani wakati ana kadegree ama amjetihadi sana masters mpechempeche kisa tu ni kiongozi ni upuuzi.
Hivi hawa wanajua joto wanalopitia watu wa PhD mpaka wakatunukiwa ?,halafu wao hakuna hata chochote cha maana walichokifanya ghafla wanajiita Dr.
Huu upuuzi ukiendelea Kuna watu wataanza kujivika degree kiholela.
Nikuinajisi elimu na jitihada za wasomi halisia
Umeleza nilichoeleza ila eewe umenyumbua nilichoeleza Mfano Dr.Makonda ndio kitu gani? Na kiaje?Kuna degree za phd katk ngaz tatu
1. Ukiwa na bachelor+masters+phd (huyo ni dr)
2. Ukiwa na bachelor ya md(degree moja ya medicine) we naye ni dr
3. Unaweza ukawa LA SABA B, kama yule mbunge lakn ukatunukiwa udaktar wa heshima kwa kufanya jambo fulani au kutoa mchango wa kitu fulani katika jamii, kwa kutambua mchango huo chuo fulan kinakutunuku hyo shahada ya heshima, we naye utaitwa dr. hatari ya hapa kuna vyuo ni machawa wa viongozi vinaweza gawa phd kama kokoto..
ndo hvo, na kuna stail ya kuziandka kiutambulisho.
Haya mambo ya kujiita Dr yapo Tanzania tu wenzetu Kama ulaya hawana ujinga Kama huu.Umeleza nilichoeleza ila eewe umenyumbua nilichoeleza Mfano Dr.Makonda ndio kitu gani? Na kiaje?
Oya...hio Dr. Makonda n mfano tu au n unamaanisha🤔🤔🤔🤔Umeleza nilichoeleza ila eewe umenyumbua nilichoeleza Mfano Dr.Makonda ndio kitu gani? Na kiaje?
Ebu acha uongo, niache ninywe maji..MAKONDA HUYU HUYU M-RC AU UMECHANGANYA MAJINA MKUU?Umeleza nilichoeleza ila eewe umenyumbua nilichoeleza Mfano Dr.Makonda ndio kitu gani? Na kiaje?
Dr. Jakaya kikweteKuna huu utaratibu wa watu kujiita Dokta flani wakati ana kadegree ama amjetihadi sana masters mpechempeche kisa tu ni kiongozi ni upuuzi.
Hivi hawa wanajua joto wanalopitia watu wa PhD mpaka wakatunukiwa ?,halafu wao hakuna hata chochote cha maana walichokifanya ghafla wanajiita Dr.
Huu upuuzi ukiendelea Kuna watu wataanza kujivika degree kiholela.
Nikuinajisi elimu na jitihada za wasomi halisia
Dr smart
Fakeni kabisaDr. Jakaya kikwete
Dr. Samia suluhu Hassan
Angela KIZIGHA ( MPA) Mzumbe
Nape Nnauye ( MPA) MZUMBE
Bashite (MBA) Sijui wapi anafanyiwa research hotelini.
Dr. Gwajima [ PhD)
Msukuma ( PhD)
Jafo ( PhD)
Orodha ni ndefu sana sana. Tunachoshudia ni kuongeza idadi ya majimbo badala ya kuongeza hoja za tija bungeni?
Yaani wanaotupa MISAADA wamebaki na WABUNGE wao wachache. Wanaopewa misaada WANAONGEZA IDADI YA MAJIMBO BILA TIJA KILA SIKU
MTU MWEUSI ANA SHIDA HASA AKIWA CCM
Kakemewe watu wanapelekana mahakamani nakutunukiwa PhD zao kwa amri ya mahakama hawa wengine kidogo tu,DrPunguza jazba mkuu,,,,mbona haka kautaratibu kapo tangu miaka ya 2018 nyuma huko.😆
Washapeana sana aisee.