Baba anamuuliza mwanae hee! Alfajiri yote hii mbn unawahi shuleni? MTOTO: mwalimu wa bagia leo anakuja asubuhi nikichelewa nitakuta zimeisha. BABA: pumbavu sio kuwahi masomo bali bagia? MTOTO: ndiyo si wanasemaga elimu haina mwisho lakini bagia zinaishaga.