Laiti ingekuwa viongozi wanasimamia hasa maendeleo ipasavyo sidhani kama kungekuwa na darasa kama hilo tena la watoto wadogo wanaopaswa kuwekewa miundombinu na mazingira rafiki na ya kuvutia .lmagine tangu nchi imepata uhuru zaidi ya miaka 50 iliyopita.
Tuna kazi ya ziada kwakweli