Elimu bure

Swali la kujiuliza je ni kweli kuwa wazazi na walezi hapa nchini hawakuwa na uwezo wa kuwapeleka watoto wao hata shule za misingi??
Mana ongezeko hili la wanafunzi limetokana na Elimu bure.
Na je hii Elimu bure isinge kuwepo je hili wimbi kubwa la wanafunzi hadi shule zinazidiwa lingekuwa wapi???
Mungu bariki Tanzania
 
na ole wako upeleke orodha ya mwaka huu kubwa kuliko mwaka jana, hao watakuwa wanafunzi hewa
 
Elimu bure maana yake ni kwamba utasoma uhitimu lakini ajira hakuna!
 
Serikali ingepitisha sheria kuwa viongozi wote watoto wao lazima wasome shule hizi, . Hapo ndio tungeona uzalendo. Maana siku hizi hata walimu wanaojitambua watoto wao hawasomi shule wanazofundisha wao. Huko vijijini hali ni mbaya sanaa
 
ati elimu bure ni madawatiii....tutafika tuu ila kwa kuchoka na itakuwa late saan.
 
Umulike hata nje ya mipaka yetu ulete tumaini pale ambapo hapana matumaini, upendo mahali ambapo pana chuki, na heshima ambapo pamejaa dharau.
 
Mbona mwenyewe alisema kuna ongezeko la hadi 80% kwa darasa..!!! kama madarasa ni yaleyale mana yake nini?
Maana yake umemuongezea kazi mwalimu na kumuwekea mazingira magumu zaidi ya utendaji kazi na kisha kumnyima nyongeza ya mshahara ili aisome namba vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…