Elimu Bure yaleta balaa, Wanafunzi wafurika Mashuleni

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Elimu Bure imeleta changamoto nyingine kubwa nchini mwetu baada ya kusababisha Wanafunzi kufurika shuleni na Shule kuzidiwa, hii ni dalili nzuri inaonyesha kwamba Raisi wetu alijua alichokuwa anakisema kwa sababu bila ya kuondolewa kwa ada ina maana hawa watoto wote wangebakia nyumbani!

Hongera sana Raisi Magufuli, kila jambo lina sababu hasa hili la CCM kumuondoa ya fisadi Lowasa vinginevyo si ajabu tusingebahatika kupata Raisi kama wewe, kweli TanZania ni mpango wa Mungu!

Free education sparks new crisis

cris..jpg

=================

Elimu bure kaa la moto D’ salaam

Wakati Serikali ya Awamu ya Tano ikisisitiza kutoa elimu bure kwa shule za msingi na sekondari,

Wanafunzi wa darasa la pili wa Shule ya Msingi Mbezi Ndumbwi wakiwa darasani huku wengine wamekaa chini kutokana na upungufu wa madawati shuleni hapo, Dar es Salaam jana. Picha na Herieth Makwetta

Dar es Salaam. Wakati Serikali ya Awamu ya Tano ikisisitiza kutoa elimu bure kwa shule za msingi na sekondari, mpango huo umesababisha adha kwa baadhi ya shule ikiwamo kukosekana walimu wa ziada, kuibwa vifaa vya kufundishia na ongezeko la wanafunzi.
Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili katika shule za msingi na sekondari katika wilaya za Ilala, Kinondoni na Temeke, umebaini kuwa mpango huo badala ya kuwa msaada kwa walimu umekuwa mzigo unaowapasua kichwa.

Fedha za ruzuku zinazopelekwa katika shule kwa mchanganuo maalumu kulingana na idadi ya wanafunzi, hazikidhi matumizi ya shule hizo hata kwa wiki mbili.

Mchanganuo wa fedha za ruzuku Wilaya ya Kinondoni, unaonyesha kuwa ni shule tano pekee ambazo zimepewa fedha ya chakula ni Kawe A, Mbuyuni, Msasani A, Msewe na Sinza Maalumu, huku nyingine zote zikiwa hazina fedha za kulipa walinzi, bili ya maji, umeme, ukarabati wa madawati, madarasa na vyoo.

Katika Wilaya ya Temeke, shule kadhaa zimevunjiwa madarasa, ofisi za walimu na kuibwa vifaa vya kufundishia, meza, viti kutokana na kukosekana walinzi ambao walikuwa wakilipwa kwa ushirikiano wa shule na wazazi. Mlinzi mmoja hulipwa kati ya Sh150,000 hadi 200,000.
Mpango huo umekuwa mwiba mchungu kwa walimu wa shule hasa za sekondari ambao walitakiwa kuwa wabunifu kwa kutafuta jinsi ya kuongeza ufaulu wa wanafunzi na kushirikiana na wazazi kulipa walimu wa ziada hasa wa masomo ya sayansi.

“Nimeajiri walimu sita wa masomo ya sayansi kwa kushirikiana na wazazi, ambao hapa kwangu nina mahitaji makubwa huku akiwapo mmoja aliyeajiriwa na Serikali. Kwa mwezi nawalipa Sh300,000 hadi 350,000, najiuliza nitawalipa nini na fedha ya ruzuku haina fungu hilo? Bado mlinzi, bado maji, bado umeme, nimechanganyikiwa natamani kurudi kijijini nikalime kuliko fedheha hii, ”alisema mmoja wakuu wa shule ya sekondari wilayani Temeke ambaye hakuwa tayari jina lake liandikwe gazetini.

Alisema mwaka huwa ana mitihani minne wa Machi, Juni, Septemba na Desemba, ambayo kila mmoja hadi unamalizika humgharimu Sh1.5 milioni, kwa bahati mbaya fedha ya ruzuku aliyopata kwa mchanganuo wote ni Sh4.8 milioni hivyo kwa mitihani pekee anatumia Sh6 milioni ambazo hafahamu atazitoa wapi huku fedha za ruzuku zikiacha hayo yote bila majibu wala ufafanuzi.

“...Wazazi wametangaziwa elimu bure kwa kishindo, sielewi itakuwaje na waliendelea kufundisha mwezi uliopita wananidai na sifahamu mwezi huu nitawapa nini,” alisema mwalimu mwingine.

Katika shule za msingi, tatizo kuu lililojitokeza ni wanafunzi kuwa wengi kuliko uwezo wa shule.

“Mwaka jana na mwaka juzi, wiki ya kwanza shuleni nilikuwa nimekadiria kuandikisha wanafunzi 250, wakaongezeka hadi 300, lakini hadi asubuhi ya leo (jana) nimeandikisha wanafunzi 600, ” alisema mwalimu mkuu wa shule moja wilayani Temeke ambaye pia aliomba jina lake lisiandikwe gazetini.

Alisema kwa ongezeko hilo kila darasa watakaa wanafunzi 150 badala ya 50 waliokuwa wanakaa awali.

“Hatuwezi kuwakataa tutaambiwa tunakataa wanafunzi, bado wanakuja hadi Machi, sijui itakuwaje,” alisema mwalimu mwingine wa shule ya msingi wilayani humo.
Alisema mbali ya hilo wamelazimika kutoa elimu ya ziada kwa wazazi, kutokana na wengi wao kuwaleta wanafunzi wakiwa hawana kitu chochote hadi begi la kubebea madaftari.
“Ukiwauliza wazazi mbona mtoto hana kitu zaidi ya sare alizovaa anakuambia wametangaziwa elimu bure, kibaya zaidi hata nembo hawana, tunashindwa kuwaambia walipe Sh500 au 1,000 ya nembo watasema tunawalipisha,” alisema.

Alifafanua ikitokea wanafunzi wamepata matatizo itakuwa ngumu kuwatambua, kutokana na kutokuwa na nembo,” alisema.
Akizungumzia changamoto ya ruzuku, Ofisa Elimu Mkoa wa Dar es Salaam, Raymond Mapunda alisema shule zinazopata tabu ya ruzuku ni zenye wanafunzi wachache kwani zilizo na wengi hazipati adha hiyo kwa kuwa zinapata fedha nyingi.

Alisema Serikali imepanga kila mwanafunzi kwa mwaka atumie Sh10,000 hivyo zitatolewa kidogokidogo hadi zitimie: “Hizo changamoto zilizopo zitafanyiwa kazi taratibu lakini fedha iliyopo itumike kulingana na maelekezo yaliyotolewa.”
 
Ujinga ni mzigo walimu wanakopa mpaka poooo! Hawana nyumba za kuishi, huwezi kusema elimu bure bila kurekebisha mazingira ya elimu hiyo. Kwekwe utifuliwa na si kupalilia.
 
Serikali kupitia kwa waziri wa TAMISEMI / Elimu aangalie kubadili baadhi ya waalimu wakuu na wasaidizi wao. Bila hivyo suala la elimu bure litakuwa mchezo wa Tom and jerry. Kadri Serikali inavyojitahidi wao ni kupinga na kutafuata media. Kuna waalimu wakuu wana Matovu ya uchaguzi na wameshindwa kuyapotezea, hawa hawawezi kwenda na kasi ya #Hapani kazi tu, wao ni kutwa kulalamika.

Ninayasema haya kwa sababu zifuatazo:-
1. Kiongozi yoyote anatakiwa kufahamu mikopo ya uongozi (the do's and dontz)
2. Kiongozi yoyote anatakiwa kujua mipaka ya uongozi wake
3. Kiongozi yoyote anatakiwa kuheshimu walio juu Yake
4. Kiongozi yoyote anatakiwa kufanya maamuzi na aweze kuyatetea
5. Kiongozi yoyote anatakiwa kuwa mbunifu
6. Kiongozi yoyote anatakiwa kuwa mvumilivu nk

Huwa ninajiuliza huu ni mwezi wa January na hata haujaisha. Hiyo tathmini ya hao wakuu wa shule ina mashiko kweli?? Na Kama ina mashiko, hivi hawajui wanatakiwa kuripoti wapi matatizo yao? Mbona matatizo ya shule binafsi hatuyaoni kwenye mitandao?? Hawa wakuu wa shule wanaidharau Serikali. Pia hawapo hapo kutatua changamoto bali wapo hapo kuichafua Serikali.

Hivi Mwalimu mkuu hawezi kukaa chini akaandika ripoti ya utendaji ya shule yake?? Je hawezi humo ndani kuandika mapendekezo katika Yale maeneo yenye changamoto?? Hatutegemei uandike changamoto bila kuandika mapendekezo nini kifanyike. Wao wamekalia kulalamika (Kama kweli wapo maana hawa waandishi wengine wa habari inabidi waweke source za taarifa zao ili ijulikane wapi kwa kuanzia).

Hivi DSM ina shule ngapi?? Ni shule ngapi wakuu wake wameshindwa kutatua changamoto au hata kuzitolea mapendekezo??
Ni asilimia ngapi ya hizo shule ktk jiji lote zina shida???

NIA njema ya Serikali inakwamishwa na wakuu wa shule na wafanyakazi wasio waaminifu. Hawa walizoea kupiga Dili kwenye michango ya shule. Na inawezekana ndio hao waliotengeneza huo wizi ili ionekane kuna shida.

Mwisho NAIPONGEZA SERIKALI KWA UAMUZI WA KUTOA ELIMU BURE. NAAMINI CHANGAMOTO ZIPO TENA NDOGO SANA NA ZINAFANYIWA KAZI. MWALIMU MKUU ASIYEENDANA NA HII KASI AKAE PEMBENI.

MWITIKIO MKUU WA WANAFUNZI KUJIUNGA NA SHULE NI DALILI KUWA WAZAZI WAMEPOKEA KWA MIKONO MIWILI UTARATIBU HUU MPYA WA SERIKALI

NAAMINI NDANI YA MWAKA HUU MAMBO MENGI YATAWEKWA SAWA. TUWE NA SUBIRA.

Queen Esther

Matumain yanarudi kiaina Tanzania, piga kaz mheshimiwa mpaka wapinzan wakose la kusema
 
Changamoto ni nyingi kuliko unavyofikiri au usivyotaka kukubali. Pamoja na kwamba elimu ilikuwa bure enzi za mwalimu, wazazi wangu na wengine walichangia ujenzi wa shule ambayo inazalisha ma First Ladies. Hakikuwa kitu cha ajabu. Lakini wakati ule ilikuwa siasa ya ujamaa na kujitegemea. Sasa hivi tunafuata siasa gani? Huyu mwalimu ajiongeze na huyo ofisa anavuta mshahara wa kiasi gani. Mwalimu afundishe darasa la watoto 100, hii ni haki kwa mwalimu wakati wengine wamekaa kwenye ofisi kubwa full kiyoyozi. Mnahalalisha wakuu wa mashirika ya umma kujipa mishahara minono na kumlazimisha mwalimu ajitolee. Which is more precious money au hawa watoto wetu.

Kuna wakati kukubali kukosolewa sio sign ya weakness, inaonyesha jinsi ulivyo strong.

Magufuli much as we like him for his honesty , his commitment, unselfishness and sense of duty to us, he is not God. He has made mistakes, is probably making mistakes now and will definitely make in the future. Hiyo ni nature ya binadamu.
 
Ndio raha ya mkurupuko hamna maandalizi basi kila kitu vululu vululuu....
 
Back
Top Bottom