JaphetJacob Senior Member Joined Dec 11, 2015 Posts 106 Reaction score 121 Aug 12, 2016 #1 Rais anaposema watu wazae tu watoto maana watasoma bure afu wakifika advance anawakandamiza kwa grade ambazo ki ukweli ni ngumu ukilinganisha na miondombinu mashuleni Pia kutotoa fedha kwa ajili ya field kwa wakati huku watu wanateseka Hii kweli ni nia ya dhati au siasa
Rais anaposema watu wazae tu watoto maana watasoma bure afu wakifika advance anawakandamiza kwa grade ambazo ki ukweli ni ngumu ukilinganisha na miondombinu mashuleni Pia kutotoa fedha kwa ajili ya field kwa wakati huku watu wanateseka Hii kweli ni nia ya dhati au siasa
K kisengeli JF-Expert Member Joined Apr 21, 2016 Posts 458 Reaction score 630 Aug 12, 2016 #2 Elimu bure Ni bure kabisa
CK Allan JF-Expert Member Joined Aug 14, 2013 Posts 2,784 Reaction score 6,178 Aug 12, 2016 #3 maana ya bure ni bure.. empty kabisa
MU-ARSENAL JF-Expert Member Joined Sep 21, 2012 Posts 956 Reaction score 597 Aug 12, 2016 #4 Mi bado cjaona hyo BURE
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,090 Reaction score 165,243 Aug 13, 2016 #5 Tunawapiga kwenye vijiji, tunawanyooosha vitongojini.....
bridalmask JF-Expert Member Joined Jan 14, 2015 Posts 2,195 Reaction score 1,169 Aug 13, 2016 #6 Unapoambiwa jambo changa na akili yako pia, maana ukifuata ya mwanadamu mwenzako unaweza ukafyatuka akili.
Unapoambiwa jambo changa na akili yako pia, maana ukifuata ya mwanadamu mwenzako unaweza ukafyatuka akili.
kidibwi Member Joined Aug 11, 2016 Posts 11 Reaction score 4 Aug 13, 2016 #7 bridalmask said: Unapoambiwa jambo changa na akili yako pia, maana ukifuata ya mwanadamu mwenzako unaweza ukafyatuka akili. Click to expand... Sio kufyatuka akr tu hata ktumbkia pia
bridalmask said: Unapoambiwa jambo changa na akili yako pia, maana ukifuata ya mwanadamu mwenzako unaweza ukafyatuka akili. Click to expand... Sio kufyatuka akr tu hata ktumbkia pia