China miaka ya 60 waliwekeza sana kwenye kilimo, kujituma kufanya Kazi. Matokeo yake idadi ya watu ikakua kwa kasi ya ajabu, suala ambalo lilipelekea na upatikanaji wa msosi na Sera ya Mao ya zaeni muwezavyo ili kujenga TAIFA lenye nguvu(China).Hadi Sasa Sera hiyo imeendelea kulitafuna TAIFA hili lenye watu takribani Billion 1.8, licha ya kuna na Sera nyingine ya zaani watoto wawili tu miaka 70 na kisha mtoto mmoja tu kwa kila wanandoa mwaka 79 n.k
Kwa Tanzania serikali yetu naipongeza kwa kuhakikisha wananchi wake wanapata ELIMU msingi bure, Hongera Rais NA chama chako KWA hili.
Tatizo moja kwamba, vitu vya bure huwa vinamadhara makubwa in a long run. Ukiambiwa hotelini agiza chochote nitalipa, kama siyo mstaatabu waweza kula hadi ukavimbiwa. Pia baa ukipewa ofa ya kunywa uwezavyo kama siyo mstaatabu unaweza kunywa hadi ukazimika.
Mimi KWA mtazamo wangu ELIMU bure itapeleke ongezeko kubwa la watu kutokana high birth rates zinazochochewa na free education, good medical cares and sanitation).
Ardhi ni kubwa lakini population pressure mijini iangaliwe KWA kuboresha mazingira ya remote areas.
Kwa Tanzania yetu kumekuwa na porojo nyingi za uzazi wa mpango