Elimu Bure Inatesa Wakuu wa Shule....!!

barwani

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
238
160
Wanajamvi Habari Zenu,..Kwanza kabisa nimpongeze raisi wangu Jpm kwa muendelezo mzuri wa uongozi wake toka alipoingia madarakani mpaka leo hii,.Ndugu zangu hii sera ya elimu bure Mh ameitekeleza kwa "Mizuka" na kutafuta imani toka kwa wananchi juu ya uongozi wake,nachelea kusema kwamba "serikali haikujipanga na wadau wa elimu hawakushirikishwa vyema".Mgao wa pesa za kugharamia shule unaotolewa na serikali ni mdogo julinganisha na gharama halisia za kuendesha shule mf;shule ina wanafunzi 1000,vyumba vya madarasa 7,haina maktaba na vitabu,maabara na vifaa,inapewa mil 24 per year na hapo serikali inataka mwanafunzi afanye practical za masomo yote ya sayansi, mitihani ya majaribio kila mwezi,no umeme no photocopy mashine kwenye hiyo shule,hii ni commedy;Ushauri;Ni vyema serikali ingeomba nakala za bajeti toka kwenye shule zake kabla ya kujiamulia kugawa mafungu ambayo hayatoshi,.NATEGEMEA KUONA SHULE ZA SERIKALI ZIKISHIKA MKIA MWAKA HUU KWENYE MITIHANI YA KITAIFA
 
Back
Top Bottom