Elimu bure Elimu bora

milito23

Member
Jul 12, 2015
87
15
Kabla ya yote napenda kuzungumzia swala la elimu bure na maswali mengi najiuliza Je? ni bora ninapoa kaa chini na kufikilia napata gazabu sana ninapo ona manyanyaso kwa wale wanao soma bure kila kitu bure mnapenda vya bure walimu wapo bize kisa bure akuna upigaji kisa elimu inatolewa bure
Asubuh ya leo majira ya saa nne


Gafla nikawasha redio nikaanza kusikiliza bunge mungu si athuman nikasikia swala la elimu bure na mchakato mzima na mgawanyiko mzima wa swala la kufanikisha elimu ya bure kuweza kutekelezeka swala la elimu bure ongera mr president ila aya masiahala sana Swala la afya inakuwaje nimesikia ada na pesa ya chakula tu vipi kuhusu afya hivi sasa afya imekuwa ni gharama binafsi kwa mwanafunzi wa kidati cha nne kushuka chini kwa shule za serikali mzazi upeleka mtoto akiamini kila kitu bure Je gharama hizo zinakuwaje watoe ufafanuzi zaidi juu ya swala hilo kwani gharama za hospital ni kubwa na ni ngumu kwa mtoto wa kidato cha kwanza tena katokea ndani ndani uko baba anakuwa ana habari tena na mawasiliano magumu anakupa nauli ya kuludi nyumbani likizo akijua elimu bure basi kila kitu unapata shule vingine havipatikani jaman


Jaman mwisho wa siku ni fedhea tu kwan hata majina yao sauvi mtasikia bure kwenye mstari wa chakula wale wa elimu bure wa mwisho ratiba inakuwa inabana pesa wanazitoa serikali kwa mashuleni bado ni ndogo katika uendeshaji tutazame kwa jicho la pili tuangalie elimu bora lazima kuzingatia afya bora kama ni bure basi tujue moja kila kitu kipatikane ambacho kitamfanya mwanafunzi apate elimu bora na ya bure Je wewe unazungumzuaje...?
 
Back
Top Bottom