Hujaamini alikuwa kilaza?.Yameshatoka,mwanangu amefaulu sijaamini
Mie nilimuunga mkono tokea siku ya kupiga kuraTuendelee kumuunga mkono Rais Magufuli na Serikali
Mi mdogo wangu (ke) amepata A nne na B moja sijui atapangwa shule gani aisee maana usishangae wakamtupa shule ya kata tena day mwanzo mwishoMdogo wangu amepata A tano
Nasubiri nione atachaguliwa wapi kama vipi nimfanyie transfer kwenda special school hasa hasa Kibaha
Alikuwa kiazi sana nini mkuu?Yameshatoka,mwanangu amefaulu sijaamini
Kisa?Chadema kwisha kabisa
matokeo tayariMatokeo hatujaoni tunaona maelezo tu
chaguzi za shule itakua lini?Mdogo wangu amepata A tano
Nasubiri nione atachaguliwa wapi kama vipi nimfanyie transfer kwenda special school hasa hasa Kibaha
Watapangiwa shule lini?Mi mdogo wangu (ke) amepata A nne na B moja sijui atapangwa shule gani aisee maana usishangae wakamtupa shule ya kata tena day mwanzo mwisho
NovemberWatapangiwa shule lini?