Elibariki Kingu Vs Paul Makonda nani aondoke CCM?

Ketoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2015
Posts
1,121
Reaction score
1,981
Katika miezi ya hivi karibuni mbunge wa jimbo la Singida Magharibi kupitia CCM amewahi kuhoji uhalali wa elimu ya mkuu wa mkoa wa Dar, Paul Makonda, na akaenda mbali zaidi yupo tayari kufukuzwa uanachama lakini lazima elimu ya Makonda ieleweke"

Leo mh Rais na mwenyekiti wa CCM ametamka wazi hana shida na elimu ya Makonda hata kama hajui kusoma A.

Kwa kauli hii ya mwenyekiti wa CCM na Rais wa nchi, kauli ya mh mbunge imekufa, hivyo wananchi tunasubiri kauli yako kama unaendelea kumpinga Makonda au utaunga mkono rangi nyeusi na huku rangi ni nyeupe.

Je utachukua hatua gani kama hukubaliani na Rais?
Nakushauri ujizulu, mwanasiasa bora huachia ngazi ili kulinda heshima yake na kile anachokiamini
 
Katika miezi ya hivi karibuni mbunge wa jimbo la Singida Magharibi kupitia CCM amewahi kuhoji uhalali wa elimu ya mkuu wa mkoa wa Dar ,Paul makonda, na akaenda mbali zaidi yupo tayari kufukuzwa uanachama lakini lazima elimu ya Makonda ieleweke"

Leo mh Rais na mwenyekiti wa Ccm ametamka wazi hana shida na elimu ya makonda hata kama hajui kusoma A

Kwa kauli hii ya mwenyekiti wa ccm na Rais wa nchi, kauli ya mh mbunge imekufa,hivyo wananchi tunasubiri kauli yako kama unaendelea kumpinga Makonda au utaunga mkono rangi nyeusi na huku rangi ni nyeupe

Je utachukua hatua gani kama hukubaliani na Rais?
Nakushauri ujizuru ,mwanasiasa bora huachia ngazi ili kulinda heshima yake na kile anachokiamini

- Wacha uchonganishi Mbunge Kingu alishamuomba radhi Makonda mwenyewe kwamba alidanganywa na maadui wa Makonda Bungeni kumbe ukweli sio kama alivyoambiwa, nenda Instagram ya Kingu utaona ameandika hayo maneno ya kukutana na Makonda VIP Uwanja wa ndege na kumuomba radhi yakaisha. Wacha uzushi!

le Mutuz
 
Mkuu kwa hiyo anaunga mkono kufoji vyeti au
 
- Wacha uchonganishi Mbunge Kingu alishamuomba radhi Makonda mwenyewe kwamba alidanganywa na maadui wa Makonda Bungeni kumbe ukweli sio kama alivyoambiwa, nenda Instagram ya Kingu utaona ameandika hayo maneno ya kukutana na Makonda VIP Uwanja wa ndege na kumuomba radhi yakaisha. Wacha uzushi!

le Mutuz

Amuombe radhi kwa lipi ?makonda Hakudanganya elimu yake au majina anayotumia sio ya bandia au hakukwapua vyeti
vya mtu mwingine? Wewe kubwa jinga acha upumbavu wako.... hunaga akili!
 
Katika miezi ya hivi karibuni mbunge wa jimbo la Singida Magharibi kupitia CCM amewahi kuhoji uhalali wa elimu ya mkuu wa mkoa wa Dar ,Paul makonda, na akaenda mbali zaidi yupo tayari kufukuzwa uanachama lakini lazima elimu ya Makonda ieleweke"

Leo mh Rais na mwenyekiti wa Ccm ametamka wazi hana shida na elimu ya makonda hata kama hajui kusoma A

Kwa kauli hii ya mwenyekiti wa ccm na Rais wa nchi, kauli ya mh mbunge imekufa,hivyo wananchi tunasubiri kauli yako kama unaendelea kumpinga Makonda au utaunga mkono rangi nyeusi na huku rangi ni nyeupe

Je utachukua hatua gani kama hukubaliani na Rais?
Nakushauri ujizuru ,mwanasiasa bora huachia ngazi ili kulinda heshima yake na kile anachokiamini
Pambana na hali yako watoke wewe nani?
 
- Wacha uchonganishi Mbunge Kingu alishamuomba radhi Makonda mwenyewe kwamba alidanganywa na maadui wa Makonda Bungeni kumbe ukweli sio kama alivyoambiwa, nenda Instagram ya Kingu utaona ameandika hayo maneno ya kukutana na Makonda VIP Uwanja wa ndege na kumuomba radhi yakaisha. Wacha uzushi!

le Mutuz
mission town vipi?
 
Safi,kazi nzuri sana mkuu unafanya!
 
- Wacha uchonganishi Mbunge Kingu alishamuomba radhi Makonda mwenyewe kwamba alidanganywa na maadui wa Makonda Bungeni kumbe ukweli sio kama alivyoambiwa, nenda Instagram ya Kingu utaona ameandika hayo maneno ya kukutana na Makonda VIP Uwanja wa ndege na kumuomba radhi yakaisha. Wacha uzushi!

le Mutuz
Aiseeee
 
Huyu kingu nilisoma uzi humu anatakiwa akajibu tuhuma za upigaji Igunga
 
- Wacha uchonganishi Mbunge Kingu alishamuomba radhi Makonda mwenyewe kwamba alidanganywa na maadui wa Makonda Bungeni kumbe ukweli sio kama alivyoambiwa, nenda Instagram ya Kingu utaona ameandika hayo maneno ya kukutana na Makonda VIP Uwanja wa ndege na kumuomba radhi yakaisha. Wacha uzushi!

le Mutuz
Mkuu, tusaidie na tusiojua kuhusu huo "ukweli"
 
- Wacha uchonganishi Mbunge Kingu alishamuomba radhi Makonda mwenyewe kwamba alidanganywa na maadui wa Makonda Bungeni kumbe ukweli sio kama alivyoambiwa, nenda Instagram ya Kingu utaona ameandika hayo maneno ya kukutana na Makonda VIP Uwanja wa ndege na kumuomba radhi yakaisha. Wacha uzushi!

le Mutuz
Hehe yaani akaamua kuna na utetezi wa kudanganywa, na ni mbunge na hajui kutumia resource na privilege alizonazo kutafuta ukweli. Kwa misingi hiyo hata hoja anaweza kweli kutengeneza. Kweli hilo Genge limejaa wasiojielewa
 
Back
Top Bottom