Mkuu, umetoa somo zuri, ila system ya sasa hivi sio ya zamani. Sasa hivi hamna kitu kinaitwa %. Matokeo yanatoka kwa kuonyesha umepewa kiasi gani na baadaye wanatoa loans breakdown kukuonyesha wamekugawanyishia. NON PRIORITY na PRIORITY zinahusika sasa, maana kuna program zimepewa kipaumbele zaidi ya nyingine. Wewe wape moyo tu, ngoja muone mautumbo ya HESLB