Cryptopotato
Member
- Dec 19, 2017
- 53
- 71
- Thread starter
-
- #21
Mkuu mimi ni mtanzania halisi ningekuwa na nia ya kuwapigia chepuo basi ningetoa ushauri na kumtaja jina kwamba broker flani ndiye bora.nilichojaribu kuwaelewesha wengine nikwamba kuna soko la hisa msimamizi ni DSM na kuwa broker wa hilo soko kyna kanuni na miongozo ambayo itamlinda mnunuaji.Hii yote ni kutaka kuwapigia mabosi wako wa huko nje chapuo ili wa hapa kwetu wakose ... Hata mbuyu ulianza kama mchicha hivyo basi kwa kuwa hiki kitu ni kigeni miongoni mwa waTanzania wengi itapendeza kama tutawaunga mkono hawa wa kwetu ili tufike kule walipofika wenzetu wa nje ..
Kila jambo na changamoto zake na changamoto hazikwepeki.
Unataka kujaribu???...nakushauri download trial apps zipo playstore nyingi tu kwanza uone kabla ya kucomit na kutuma hela kwa m_pesa ikaliwa na wajanjaHii biashara inabidi niifanye ili niujue utamu wa hii ngoma, maana wana sema utamu wa ngoma ingia kati ucheze, lakini pia mti wenye matunda ndio inaopigwa mawe.
Seva imejaa......!Kwanini lakini zile threads zimefungiwa from further replies?
Ontario kalalamika ukiona hivyoSeva imejaa......!
Jamaa alibanwa.Ontario kalalamika ukiona hivyo
Ni endelevu. Kabla ya krismasi tumepeleka watu 70 kwa Ethiopian Airline mpaka Rome kisha wakaunga kwa barabara mpaka Vatican. Karibuandreakalima ulifanikisha ile trip ya kwenda Vatican kwa discount?
Hahahaha hapa ndo mnawakamatia watu najuaa kuwaonyesha hivi..mbona losses umezitoaaaForexi foreksi forekisi daah but
View attachment 676359
trial gani mkuu hakuna biz isio na loss loss napata na nishapata hata margin call but sihesabu kama loss maana Nina recover fresh mtaji wangu nishaurudisha ninatumia wa faida soHahahaha hapa ndo mnawakamatia watu najuaa kuwaonyesha hivi..mbona losses umezitoaaa
Unaweka ulizopata tu ulizopoteza zinaweza kuwa zaidi ulizo pata
Nahii app yako ya meta trader 4. Unaringishia trials tu piga meta trader 5
Huu uzi wa Dec 21Mwacheni kijana wa watu sasa inatosha jamani.
Wakuu mm swali langu ni moja tu hii ni episode ya ngapi?
Probably sikatai...ila huyo broker ni wa nje na anaaminika sana kwakuwa yupo nchi yenye miongozo mizuri ya hii biashara,ni wa siku nyingi, execution time yake ya oder ni near perfect etc..saasaa kwa wale wa hapa kwetu wanaotaka watumiwe pesa kwa mpesa ndo waexecute oder ya mtu huo mda wote pips ngapi zitakuwa zimepanda na kushuka kama unavyojua it is a game of timing.....trial gani mkuu hakuna biz isio na loss loss napata na nishapata hata margin call but sihesabu kama loss maana Nina recover fresh mtaji wangu nishaurudisha ninatumia wa faida so
capital ya 2000$, anavyodai yeye hii inaspread ya 0.1 bila commission lakini kiuhalisia ni uongo, ukifungua real account unakutana na spread ya 0.7 +.
#1. whittworthinvestingNataka kufanya aggressive scalping
Asante sana mkuu#1. whittworthinvesting
#2. axiory
#3. FreshForex
#4. Pepperstone
Au chagua mmojawapo kwenye hii list: http://fx-c.com/mt4-ecn/
Iwapo unajua vyema ABCs za broker unayemwitaji basi tumia hii search engine: https://www.100forexbrokers.com/advanced-broker-search/
View attachment 1101412
Tumia hivi vigezo hapa chini na hakika utapata broker bora
- Broker Type
- Regulation
- ECN Account
- Scalping
- Hedging
- Trading Platform
Kila lakheri ndugu